Mambo ya kushangaza (ultimate amazing facts)

Mambo ya kushangaza (ultimate amazing facts)

1737736947334.jpg
 
Ni kweli Einstein ana mchango mkubwa kwenye physics lakini wanampa ujiko mkubwa sana walikuwepo ma genius zaidi yake, wengine wanasema huenda alikuwa ana copy ideas,
Sasa mpaka macho wanayatunza ya nini
So unajua sifa za wazungu? Kitu kikiwsshangaza sana wanakihifadhi.. Hapa Tanganyika waliondoka mpaka na vichwa vya watemi wetu
 
Back
Top Bottom