Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,921
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kukuta hawa jamaa ni aliensNi hatari awa jamaa afu ni very skillful people na very brilliant
Napenda sana life style yao, inawaacha wasafi wa roho na nafsi ndio maana wanaishi sana na ndio maana hawana pepo la uhalifu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ata ukicheki documentary zao kuna jamaa anauwezo mkubwa mno wakukaa kwenye maji ya bahari kwa 20mnt bila vuta pumzi yani uwa anafanya yoga kwanza kabla yakuingia baharini anapumzi mno
Unahisi Japani imeanza jana mpaka utoe matarajio hayo?Sasa maisha bila watoto, kuna raha gani?
Kuweka akiba ya fedha kabla mtoto kuzaliwa, wana ahadi na Mungu kwamba mtoto atakuwa vipi?
Taifa lisilopokea watoto ni taifa mfu, bila matumaini, kwa sababu watoto ni taifa la kesho.
Kama hali yao iko hivyo basi tutarajie mwisho wa kuwepo wajapani, kwa sababu baada ya muda watu wa mataifa mengine wataingia na kichukua uenyeji wa taifa la kijapani
Sent using Jamii Forums mobile app