dexterous
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 2,037
- 3,134
Habari za wakti huu!
Kwenye maisha tunaishi na watu wa aina na makundi mbalimbali, ningependa kujua mengi juu ya kundi hili la hawa watu wenye matatizo ya akili (vichaa). Wengi wao tupo nao huku mitaani, wengi ni maarufu sana kimtaa hata kimkoa. Ningepnda kuuliza haya yafuatayo;
1. Ni kwanini hawapati magonjwa hasa kama kipindupindu; hii ni kutokana na mazingira waishio kuwa machafu na hata vyakula wanavyookota na kula.
2. Sijawahi kusikia kichaa kafa kwa kuumwa zaidi ya kusikia labda kauliwa, zaidi ni kuwa huwa wanapotea tu ghafla na pengine asirudi tena na akipotea ni vigumu kuja kumuona mkoa mwingine.
3. Ningepnda kufahamu, je kutokana na hali zao inawezekana kuwa kuna hali fulani hawahisi kama watu wa kawaida? mfano njaa, hasira, huruma, uchungu na mengineyo.
4. Je, wanapata hamu ya kufanya mapenzi? Hapa nieleweke kuwa kuna vishawishi pengine kwa kumuona mtu na kuvutiwa kufanya nae hilo tendo.
Asante, nawakaribisha..