Mambo ya kutatanisha katika jamii kuhusu watu wenye upungufu wa akili


Kama ukichaa ni 'scale', hiyo scale ikoje? Kama ni kama ile ya number line haswa kuanzia zero kwenda juu basi kuna wengine sio vichaa kabisa yaani wale ambao wataangukia kwenye zero kwenye hiyo scale.
 
Kama ukichaa ni 'scale', hiyo scale ikoje? Kama ni kama ile ya number line haswa kuanzia zero kwenda juu basi kuna wengine sio vichaa kabisa yaani wale ambao wataangukia kwenye zero kwenye hiyo scale.


Mkuu Mwanamayu hiyo picha hapo juu inaonesha mtawanyiko wa takwimu wa kawaida (kama wewe ni statistician naomba msamaha lakini hapa nitaandika kana kwamba hujajifunza takwimu).

Sasa hapo penye sifuri ndio wastani (mean). Kwa hiyo kama wewe ubongo wako (uwiano wa kemikali au chemichal balance) uko hapo kwenye sifuri basi wewe ni mtu wa kawaida. Lakini hata watu waliopo kati ya -10 na +10 bado tunajiita watu wa kawaida na wengi wetu tupo hapo.

Watu waliopo kati ya +10 na +20 tunasema wao ni machachari (hyper au eccentric), na wale ambao wapo 20+ tunasema ni vichaa au wanahitaji huduma maalumu kama vile madawa.

Kwa upande mwengine, wale waliopo kati ya -10 na -20 tunasema ni wapole au slow, na wale ambao ni chini ya -20 tunasema ni taahira.

Nikukumbushe tu kuwa mimi sio mtaalam wa tiba za hawa wagonjwa wa akili. Wenye taaluma zao wanaweza kuja hapa na kutupa darasa.

Ninachokielezea hapa ni a very simple statistical categorization ya hawa watu tunaowaita VICHAA!
 

bora usingechangia.mtoa mada anazungumzia vichaa tulionao mitaani wewe unaleta habari za milembe.
 

kweli tumepata uzoefu wako alichojifunza ktk maisha bt ni irrelevant na mada kwani mtoa mada ame specify kabisa kichaa wa aina gani!
 
Tofauti yao ni nini? wa milembe Dodoma wanatokea wapi?? Ukichaa ni ugonjwa kama ugonjwa mwingine, ni imani potofu kuanza kuamini kwamba huwa wanavanish ilhali haupo interested nao.

ww jamaa unaanza kuwa kichaa bado kuokota makopo uelewa wako mfinyu sana.
 
Hakuna tofauti ya kichaa Wa Milembe na yule Wa mitaani

utofauti upo wa mtaani sometime analala nje na anakula chakula kichafu ila wa milembe anakula chakula kizur na analala pazuri.
Wa milembe wanatumia dawa,wa mitaani hawatumi dawa.
Aliye maliza diploma na mwingine degree wote wanaitwa wasomi tofauti ni kwenye level ipi ya usomi.
 
kweli tumepata uzoefu wako alichojifunza ktk maisha bt ni irrelevant na mada kwani mtoa mada ame specify kabisa kichaa wa aina gani!


Nafikiri ni relevant. Fikiria hivi:

Chukua kila swali alilouliza muweka mada halafu uliulize kwa sisi watu wa "kawaida au wasio vichaa" na uone kama halina relevance. Nitayarudia maswali yake hapa chini:

1. Ni kwanini hawapati magonjwa hasa kama kipindupindu; hii ni kutokana na mazingira waishio kuwa machafu na hata vyakula wanavyookota na kula.

2. Sijawahi kusikia kichaa kafa kwa kuumwa zaidi ya kusikia labda kauliwa, zaidi ni kuwa huwa wanapotea tu ghafla na pengine asirudi tena na akipotea ni vigumu kuja kumuona mkoa mwingine.

3. Ningepnda kufahamu, je kutokana na hali zao inawezekana kuwa kuna hali fulani hawahisi kama watu wa kawaida? mfano njaa, hasira, huruma, uchungu na mengineyo.

4. Je, wanapata hamu ya kufanya mapenzi? Hapa nieleweke kuwa kuna vishawishi pengine kwa kumuona mtu na kuvutiwa kufanya nae hilo tendo.


Swali la kwanza: Tunaweza kuuliza "ni kwa nini watu wa kawaida wengine (ambao sio vichaa lakini ni homeless) hawapati magonjwa kama kipindupindu?" nk.

Kila swali hapa tunaweza kuliuliza kwa watu kama sisi tunaojiita wa "kawaida au sio vichaa".

Kwa mfano swali la nne, unafikiri kwa nini VIAGRA ina soko kubwa sana kwa sisi tunaojiita sio "vichaa"?

(Nafikiri umekwisha sikia wale vichaa wa ngono au sex maniacs. Tafakari, je wao ni tofauti na sisi "wazima" katika maswala ya mapenzi?)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…