shilla de sam
Member
- Jan 7, 2013
- 8
- 3
Naomba kujua kwa kipindi hichi cha mwisho wa Mwaka, ni mambo gani ya muhimu kujitathmini binafsi ili kujua ni kwa kiasi gani umefanikiwa katika malengo yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila mmoja anakipimo chake cha mafanikio, na hiyo hutokana tofauti ya malengo kwa kila mmoja.Hivi ni vitu gani ukiwa navyo unakua umefanukiwa?
Kwa maisha ya mtanzania wa kawaida, hayo ni mafanikio. Kwasababu kwa maisha yetu besic needs hazikuji kama hauto jiwekea malengo wewe binafsi.Sasa mkuu mbona hayo yote ni basic needs and wants ambayo mtu timamu lazima awe nayo..
Ukiwa na akili timamu na afya njemaHivi ni vitu gani ukiwa navyo unakua umefanukiwa?
Nyumba..magari..pesa..mke..familia je?Ukiwa na akili timamu na afya njema
Akili timamu pamoja na afya njema ndio vitakufanya upate hivyo vyote.Nyumba..magari..pesa..mke..familia je?
Maana ya maisha imechanganyikana kwa undani na dhana za falsafa na imani za dini na hugusia masuala mengine mengi, kama vileSawa mkuu. Kwani maisha ni nini hasa??