Mambo ya kutisha yanayoendelea nchini ni ishara kuwa nchi yetu ipo katika laana kwa sababu imetiwa unajisi na damu za wasio na hatia

Ccm na watawala wanafurahia haya matukio maouvu kwa sababu wamejifungamanisha na makafara na imani za kishetani

Kwa tulio msikia spika tulia akiiyatetea haya maovu bungeni tuna conclude kwamba Yana Baraka za watawala

Kuna gege la watu ccm linaitaabisha nchi, linahonga wapinzani, linakuja na kutekwa wapiingaji, linateka na linaua watoto kwa ajili ya makafara, halitaki katiba mpya, halitaki mawazo mbadala ya kuongoza nchi ili kuondoa umasikini

Makuhani tumerudi milimalni kakazana na maombi ili kulisambaratisha hili kundi adui wa nchi

Kumbuka wakati ule makuhani tulioenda milimani kuomba yakatokea yale ya march 17. 2021.
 
Kwa kweli kwa huu uharamia unaoendelea, tuzidishe maombi. Mungu wetu hakawii wala hachelewi bali huyajibu maombo yote kwa wakati sahihi na kwa namna sahihi.
 
Haya matekaji, wapo na bahati mbaya sana, come back ya wananchi itakuja kuwa mbaya sana kwao, utaratibu wa kuanika majina yao sura zao uendelee, waelewe hawa wanaowateka na kuwaumiza kama sio kuondoa uhai wao wapo na ndugu siku wakijaa kwenye mfumo, mtu aliepotelewa na ndugu hawezi mchekea
 
Unamuondoaje Rais kwenye mnyororo wa madhila haya?
Au umeamua kuuma na kupuliza kwa kuhofia kutekwa?
Ahadi za Mwana-TANU:
Ahadi Namba 8 ya Mwana-TANU:-
"Nitasema ukweli daima, fitina kwangu mwiko."

Siyo kweli hata kidogo kwamba hao Watu wote kabisa ambao wametekwa au waliwahi kutekwa kuwa amri ya kutekwa kwao ilitoka kwa Rais. Wapo baadhi ya watu waliotekwa kwa amri za kutoka kwa Watu wa Vyeo vya kawaida kabisa, hata 'sponsa' hajui kitu chochote kile kuhusu hizo operesheni zao.
Huu ndio ukweli mchungu, na kiini hasa Cha kuwepo kwa matatizo hayo ni kutokana na kuwepo kwa Sheria mbovu zisizofaa zinazowapa mamlaka Watu fulani fulani kuweza kuwateka Watu wengine bila ya wao watekaji kuweza kuwajibishwa kisheria.
 
Nyie Bavicha 20 msivamie vituo vya Polisi
 
Leo Kwa taarifaa ya habar nimesikia Kuna mgangaa kakamatwa sijui wapi huko kazika watu wengi tu uku amewakalisha na inasemekana walizikwa wakiwa hai ktk maiti zilizofukuliwa zimekutwa maiti za watoto wadogo pia ...

Km taifaa tuna safari ndefu sana
Ni story ya kutunga ili kuhadaa umma, lengo ni kuwatasa polisi na haya mauaji na utekaji kwa wanasiasa wa upinzani kwani polisi na serekali ni watumiwa namba moja.
 
Hao usalama wa taifa ndio wahusika wakuu wa watu kutekwa.
 
Unayoongea ni sahihi 100% kwamba siyo kila 'teko' limaamrishwa na Rais.

Kinachokuja kumwingiza direct kwenye 'saga' hii ni yeye kuifumbia macho na kushindwa kuchukua hatua stahiki kutetea maisha ya raia anaowaongoza.

Na tukwishakueleza mfumo wa utendaji kazi wa majeshi jinsi unavyofanya kazi, lazima unamgusa yeye moja kwa moja kama Amiri jeshi mkuu.

Hakuna jambo linaloweza kufanywa katika mtiririko wa kamandi za Polisi kimya kimya yeye afichwe na jambo hilo asilielewe, huo ni utovu wa kinidhamu usiomithilika kijeshi.

Na pia uelewe kwamba kama taarifa akifichwa kuelezwa na Polisi, basi huipata taarifa sahihi na iliyochujwa kwa njia nyingine.

Na taarifa yoyote akiitaka lazima aipate kwa usahihi wake bila kuchakachuliwa.

Anapolikalia kimya jambo lolote elewa kataka, siyo kwamba halijui.

Tuacheni kumtetea, mambo haya yanamhusu moja kwa moja ama yanamhusu kiuajibikaji, hawezi kukwepa lawama hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…