Mambo ya kutisha yanayoendelea nchini ni ishara kuwa nchi yetu ipo katika laana kwa sababu imetiwa unajisi na damu za wasio na hatia

Matukio ya kutisha na ya kishetani, kama yale ya utekaji wa watu na kuwapoteza, watoto wadogo kuuawa, kutawaliwa na watu wenye mioyo ya ukatili wa kupindukia, uovu kupewa heshima dhidi ya wema, ni ishara kuwa, yamkini nchi yetu ipo katika laana kwa sababu imetiwa unajisi na damu za wasio na hatia. Jambo la kujiuliza, tumefikaje hapa? Laana hii imetokana na nini?

Kwa wanaoamini uwepo wa Mungu wetu, muweza wa yote na mkuu wa kila kitu, wanaweza kurejea katika mafundisho ya kiimani na Biblia Takatifu kuhusiana na uovu wa umwagaji wa damu za wasio na hatia.

Hesabu 35:33:  "Msiinajisi nchi mnayoishi. Umwagaji damu hunajisi nchi, na upatanisho hauwezekani kufanyika katika nchi ambayo damu imemwagwa, isipokuwa tu kwa damu ya yule aliyeimwaga damu"

Nchi hii kuna watu wengi wamepotea na kuuawa tena bila hatia. Tunaambiwa damu za wasio na hatia zikimwagwa zinaitia nchi nzima unajisi.

Mkumbuke matukio ya watu kutekwa na kuuawa hapo awali yalikuwa machache sana, lakini sasa yameongezeka maradufu kiasi cha baadhi ya watu, hasa wenye mamlaka, kututaka tuyaone kuwa ni matukio ya kawaida. Yaani tusione ajabu mtu kutekwa na kupotezwa au hata kutekwa na kuuawa na kisha mwili wake kutupwa porini Katavi na kwingineko ukaliwe na wanyama.

Ndiyo maana watawala huwezi kuwasikia wakitoa sauti kuonesha kuhuzunishwa na matukio haya ya kishetani. Ukiona wanaongelewa basi mpaka wawe wameulizwa.

Pia soma: Kuua ni laana hata vitabu vya vidini vimesema hivyo, usikubali kubebeshwa dhambi hiyo
Ccm na watawala wanafurahia haya matukio maouvu kwa sababu wamejifungamanisha na makafara na imani za kishetani

Kwa tulio msikia spika tulia akiiyatetea haya maovu bungeni tuna conclude kwamba Yana Baraka za watawala

Kuna gege la watu ccm linaitaabisha nchi, linahonga wapinzani, linakuja na kutekwa wapiingaji, linateka na linaua watoto kwa ajili ya makafara, halitaki katiba mpya, halitaki mawazo mbadala ya kuongoza nchi ili kuondoa umasikini

Makuhani tumerudi milimalni kakazana na maombi ili kulisambaratisha hili kundi adui wa nchi

Kumbuka wakati ule makuhani tulioenda milimani kuomba yakatokea yale ya march 17. 2021.
 
Kwa kweli kwa huu uharamia unaoendelea, tuzidishe maombi. Mungu wetu hakawii wala hachelewi bali huyajibu maombo yote kwa wakati sahihi na kwa namna sahihi.
 
Matukio ya kutisha na ya kishetani, kama yale ya utekaji wa watu na kuwapoteza, watoto wadogo kuuawa, kutawaliwa na watu wenye mioyo ya ukatili wa kupindukia, uovu kupewa heshima dhidi ya wema, ni ishara kuwa, yamkini nchi yetu ipo katika laana kwa sababu imetiwa unajisi na damu za wasio na hatia. Jambo la kujiuliza, tumefikaje hapa? Laana hii imetokana na nini?

Kwa wanaoamini uwepo wa Mungu wetu, muweza wa yote na mkuu wa kila kitu, wanaweza kurejea katika mafundisho ya kiimani na Biblia Takatifu kuhusiana na uovu wa umwagaji wa damu za wasio na hatia.

Hesabu 35:33:  "Msiinajisi nchi mnayoishi. Umwagaji damu hunajisi nchi, na upatanisho hauwezekani kufanyika katika nchi ambayo damu imemwagwa, isipokuwa tu kwa damu ya yule aliyeimwaga damu"

Nchi hii kuna watu wengi wamepotea na kuuawa tena bila hatia. Tunaambiwa damu za wasio na hatia zikimwagwa zinaitia nchi nzima unajisi.

Mkumbuke matukio ya watu kutekwa na kuuawa hapo awali yalikuwa machache sana, lakini sasa yameongezeka maradufu kiasi cha baadhi ya watu, hasa wenye mamlaka, kututaka tuyaone kuwa ni matukio ya kawaida. Yaani tusione ajabu mtu kutekwa na kupotezwa au hata kutekwa na kuuawa na kisha mwili wake kutupwa porini Katavi na kwingineko ukaliwe na wanyama.

Ndiyo maana watawala huwezi kuwasikia wakitoa sauti kuonesha kuhuzunishwa na matukio haya ya kishetani. Ukiona wanaongelewa basi mpaka wawe wameulizwa.

Pia soma: Kuua ni laana hata vitabu vya vidini vimesema hivyo, usikubali kubebeshwa dhambi hiyo
Haya matekaji, wapo na bahati mbaya sana, come back ya wananchi itakuja kuwa mbaya sana kwao, utaratibu wa kuanika majina yao sura zao uendelee, waelewe hawa wanaowateka na kuwaumiza kama sio kuondoa uhai wao wapo na ndugu siku wakijaa kwenye mfumo, mtu aliepotelewa na ndugu hawezi mchekea
 
Unamuondoaje Rais kwenye mnyororo wa madhila haya?
Au umeamua kuuma na kupuliza kwa kuhofia kutekwa?
Ahadi za Mwana-TANU:
Ahadi Namba 8 ya Mwana-TANU:-
"Nitasema ukweli daima, fitina kwangu mwiko."

Siyo kweli hata kidogo kwamba hao Watu wote kabisa ambao wametekwa au waliwahi kutekwa kuwa amri ya kutekwa kwao ilitoka kwa Rais. Wapo baadhi ya watu waliotekwa kwa amri za kutoka kwa Watu wa Vyeo vya kawaida kabisa, hata 'sponsa' hajui kitu chochote kile kuhusu hizo operesheni zao.
Huu ndio ukweli mchungu, na kiini hasa Cha kuwepo kwa matatizo hayo ni kutokana na kuwepo kwa Sheria mbovu zisizofaa zinazowapa mamlaka Watu fulani fulani kuweza kuwateka Watu wengine bila ya wao watekaji kuweza kuwajibishwa kisheria.
 
Matukio ya kutisha na ya kishetani, kama yale ya utekaji wa watu na kuwapoteza, watoto wadogo kuuawa, kutawaliwa na watu wenye mioyo ya ukatili wa kupindukia, uovu kupewa heshima dhidi ya wema, ni ishara kuwa, yamkini nchi yetu ipo katika laana kwa sababu imetiwa unajisi na damu za wasio na hatia. Jambo la kujiuliza, tumefikaje hapa? Laana hii imetokana na nini?

Kwa wanaoamini uwepo wa Mungu wetu, muweza wa yote na mkuu wa kila kitu, wanaweza kurejea katika mafundisho ya kiimani na Biblia Takatifu kuhusiana na uovu wa umwagaji wa damu za wasio na hatia.

Hesabu 35:33:  "Msiinajisi nchi mnayoishi. Umwagaji damu hunajisi nchi, na upatanisho hauwezekani kufanyika katika nchi ambayo damu imemwagwa, isipokuwa tu kwa damu ya yule aliyeimwaga damu"

Nchi hii kuna watu wengi wamepotea na kuuawa tena bila hatia. Tunaambiwa damu za wasio na hatia zikimwagwa zinaitia nchi nzima unajisi.

Mkumbuke matukio ya watu kutekwa na kuuawa hapo awali yalikuwa machache sana, lakini sasa yameongezeka maradufu kiasi cha baadhi ya watu, hasa wenye mamlaka, kututaka tuyaone kuwa ni matukio ya kawaida. Yaani tusione ajabu mtu kutekwa na kupotezwa au hata kutekwa na kuuawa na kisha mwili wake kutupwa porini Katavi na kwingineko ukaliwe na wanyama.

Ndiyo maana watawala huwezi kuwasikia wakitoa sauti kuonesha kuhuzunishwa na matukio haya ya kishetani. Ukiona wanaongelewa basi mpaka wawe wameulizwa.

Pia soma: Kuua ni laana hata vitabu vya vidini vimesema hivyo, usikubali kubebeshwa dhambi hiyo
Nyie Bavicha 20 msivamie vituo vya Polisi
 
Leo Kwa taarifaa ya habar nimesikia Kuna mgangaa kakamatwa sijui wapi huko kazika watu wengi tu uku amewakalisha na inasemekana walizikwa wakiwa hai ktk maiti zilizofukuliwa zimekutwa maiti za watoto wadogo pia ...

Km taifaa tuna safari ndefu sana
Ni story ya kutunga ili kuhadaa umma, lengo ni kuwatasa polisi na haya mauaji na utekaji kwa wanasiasa wa upinzani kwani polisi na serekali ni watumiwa namba moja.
 
Kwa mujibu wa Jasusi
Evarist Chachali kwenye kitabu chake cha Shushu (Afisa Usalama wa Taifa) ni nani na anafanya nini ?
Kazi yake ni kuhakikisha kuzuia kila aina ya tukio limalosababisha ukosefu wa usalama kwa Taifa lake au Wananchi wake. Sasa Mimi nashangaa hawa Usalama wa Taifa wanafanya nini hasa ? Hawanusi hatari zao haya matukio ya Utekaji, Mauaji ya raia wake ? Na hawa Watekaji na Wauaji ambao wanajitambulisha kwa utambulisho wa Polisi ni wakina nani hasa ?
Najiuliza mwenyewe maswali hapa.
Kazi ya Usalama wa Taifa ni ipi sasa ? Taifa lolote lile ni watu na Watu ndio hivyo wanatekwa, wanapotea na wanakutwa wameuwawa.
Ifikie wakati Vyombo vya Ulinzi na Usalama vitangulize mbele Usalama wa raia wake kwanza maana huko kwengine kwenye rasilimali za Taifa zimekuwa ni za Wachache ambao ni Wanasiasa. Basi mtuhakikishie Usalama wetu.
Hao usalama wa taifa ndio wahusika wakuu wa watu kutekwa.
 
Ahadi za Mwana-TANU:
Ahadi Namba 8 ya Mwana-TANU:-
"Nitasema ukweli daima, fitina kwangu mwiko."

Siyo kweli hata kidogo kwamba hao Watu wote kabisa ambao wametekwa au waliwahi kutekwa kuwa amri ya kutekwa kwao ilitoka kwa Rais. Wapo baadhi ya watu waliotekwa kwa amri za kutoka kwa Watu wa Vyeo vya kawaida kabisa, hata 'sponsa' hajui kitu chochote kile kuhusu hizo operesheni zao.
Huu ndio ukweli mchungu, na kiini hasa Cha kuwepo kwa matatizo hayo ni kutokana na kuwepo kwa Sheria mbovu zisizofaa zinazowapa mamlaka Watu fulani fulani kuweza kuwateka Watu wengine bila ya wao watekaji kuweza kuwajibishwa kisheria.
Unayoongea ni sahihi 100% kwamba siyo kila 'teko' limaamrishwa na Rais.

Kinachokuja kumwingiza direct kwenye 'saga' hii ni yeye kuifumbia macho na kushindwa kuchukua hatua stahiki kutetea maisha ya raia anaowaongoza.

Na tukwishakueleza mfumo wa utendaji kazi wa majeshi jinsi unavyofanya kazi, lazima unamgusa yeye moja kwa moja kama Amiri jeshi mkuu.

Hakuna jambo linaloweza kufanywa katika mtiririko wa kamandi za Polisi kimya kimya yeye afichwe na jambo hilo asilielewe, huo ni utovu wa kinidhamu usiomithilika kijeshi.

Na pia uelewe kwamba kama taarifa akifichwa kuelezwa na Polisi, basi huipata taarifa sahihi na iliyochujwa kwa njia nyingine.

Na taarifa yoyote akiitaka lazima aipate kwa usahihi wake bila kuchakachuliwa.

Anapolikalia kimya jambo lolote elewa kataka, siyo kwamba halijui.

Tuacheni kumtetea, mambo haya yanamhusu moja kwa moja ama yanamhusu kiuajibikaji, hawezi kukwepa lawama hizi.
 
Back
Top Bottom