the viking
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 1,170
- 1,372
ni hatia kunipigia mlango wakati nabembeleza usingizi..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahha,yaani nimecheka kwa nguvuhahahahaaa hata mimi namba nne hapana maana mimi bila KUKOMBA SAHANI mlo wangu haujakamilika...
hahahNasikia huko majuu, huruhusiwi "kufukunyua pua" mbele za watu!!! wanaweza kutapika hadi wakawekewa dripu za kuongezewa maji!!!
Tabia ya kipuuzi sana, yaani unakuta jitu linajidoboa madole hovyo tuhahah
Mkuu nimecheka sana aiseeWaAfrika Ukijamba Kwa Sauti Watashindwa Kujizuia Kucheka Na Wanaona Km Umefanya K2 Cha Aibu Wkt Wazungu Ukijamba Kwa Sauti Wanakupongeza, Na Wanakuona Jasiri Na Unajiamini. Ukijamba Kwa Siri Utampa Taabu Mzungu Ataanza Kutafuta Chanzo Cha Harufu Mbaya Ni Nn Mahala Pale Maana Ni Wa2 Makini Sn. So Ukjua Umechafua Hali Ya Hewa Kimya Kimya, Waeleze Kuwa Msihangaike Ni Mimi, Hvyo Watakwambia Thank U, Watapuliza Marashi Mambo Yataenda.
Tanzania ukijua kusoma na kuandika unapata uwaziri. ...ukuu wa mkoa na wilaya.
Ukimsema mtu vibaya kwa kifupi cha JPM unaweza kuwekwa mahali salama6.Usimkosoe Magufuli hadharani ukiwa Tanzania.