Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,849
- 3,506
1: Tumia pesa baada ya kuhifadhi, Usihifadhi pesa baada ya kutumia (spend money after saving, do not save after spending).
2: Jitahidi kuwa na mzunguko wa pesa wa mara kwa mara (passive income) kuliko ule wa mapato ya kazi (active income kama vile mshahara)
3: Jitahidi kuhifadhi angalau asilimia 20 ya pato lako kwa ajili ya lengo la kifedha la baadae, asilimia 50 ya pato lako liwe kwa ajili ya vitu muhimu katika maisha yako (chakula, kodi, nk) na asilimia 30 kwa ajili ya matumizi mbali mbali ya kawaida (nguo, mawasiliano, dawa, nk).
4: Epuka matumizi yenye gharama za juu na matumizi ambayo siyo lazima uyatekeleze.
5: Lipa madeni yako na Epuka kuzama katika madeni ya juu.
6: Kumbuka kuweka akiba ya dharura (emergency) na kama ikiwezekana iongeze pesa ya dharura.
7. Wekeza pesa zako ili uongeze kipato chako. Hauhitaji uwe na pesa kibao ndio uwekeze, tumia pesa na kutafuta uwekezaji unaoendana na kiwango chako cha pesa.
Sent using Jamii Forums mobile app