Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 1,148
- 2,815
Kitu nilichojifunza kwenye kufungua kesi.
No.1 Hakikisha wewe mwenyewe una ushaidi ulioshiba bila kutegemea watu.
No.2 Usiokote mawakili wa barabarani, tafuta mawakili kupitia watu wako wa karibu na pia usimtumie mwanasheria ambaye ana njaa ni rahisi kununulika akakufelisha.
No.3 Ni ngumu kufuatilia kesi mahakamani kama wewe ni muajiriwa.