Villanova tito
Senior Member
- Dec 20, 2016
- 148
- 154
Je unahitaji kuchimba kisima cha maji safi na salama cha kutoboa mwamba mambo yafuatayo ni ya kuzingatia kabla hujachimba
✅jambo la kwanza fanya geophysical survey survey kubaini eneo lako lina maji na yako umbali gani kutoka uso wa dunia sababu gharama ya kuchimba kisima ni kwa mita moja kila kampuni inabei yake kulingana na kazi yako
✅space hapa hususani kwenye nyumba hakikisha eneo lako lina ukubwa sahihi kuepuka kuchimba kisima karibu na mashimo ya maji taka
Kampuni za uchimbaji hupanga bei ya MITA moja kulingana na
✅ Location ya site yako mobilization ya equipment na material
✅Urefu wa KISIMA na size ya Bomba PVC za kisima kisima kinavyozidi urefu na gharama zinaongeza au kinaweza kisiwe kirefu ila upana wa PVC ukiwa mkubwa gharama zitakuwa kubwa
MAWASILIANO 0769509666 eng baraka
Ushaur ni bure