Villanova tito
Senior Member
- Dec 20, 2016
- 148
- 154
Sio sehemu zote, maji lazima yapatikane kwa kutoboa mwamba mkuu sehemu zingine maji yanapatikana kwenye porous soil.Je unahitaji kuchimba kisima cha maji safi na salama cha kutoboa mwamba mambo yafuatayo ni ya kuzingatia kabla hujachimba
View attachment 3409013
Porous water hayo hapo Kila mahali boss ila sio sustainable ukifunga pump unakausha yote borehole hata ufunge pump hayakaukiSio sehemu zote, maji lazima yapatikane kwa kutoboa mwamba mkuu sehemu zingine maji yanapatikana kwenye porous soil.