Am For Real
JF-Expert Member
- Nov 21, 2023
- 323
- 770
Wakuu ni mambo gani tunapaswa kuzingatia kabla ya kwenda kwenye usaili wa Jeshi la POLISI Tanzania.Tusaidiane.Ya chini chini niliyoyaskia ni haya:
1. Usiwe na HIV/AIDS.
2. Usiwe na makovu.
3. Watafanya kipimo Cha uanaume Ngoma inasimama
4. Wanakagua mambo kama ya Ushoga ulishawahi shiriki.Kama ni shoga huna Nguvu za usijisumbue kwenda.
5. Tattoo mambo ya vijana usijihangaishe kwenda.
6 .Tuvae official tusivae matisheti yenye mafuvu na majokeri
7. Nidhamu
8. Tunyoe nywele safi na ndevu tukwangue zote ikiwezekana tupige para.Sijui Kwa wanawake
9. Hakikisha unaenda na vyeti vyako vinavyohitajika.Ikiwemo Vya Taaluma na Cha KUZALIWA na kitambulisho Cha taifa au NIDA Kama huna kitambulisho.
10. Hamna haja ya kuvaa makacha au macheni na mabling bling.