kanyagio
JF-Expert Member
- Dec 10, 2009
- 1,021
- 366
wanandugu pole na majukumu,
kuna mdau mmoja kasomea masuala ya marketing huko india. sasa anakaribia kurudi na atakuwa anaishi Dodoma au Tanga.
anataka kuanzisha biashara ya masuala ya marketing mojawapo ni ad magazine.
wanajamvi mwenye ufahamu na masuala ya magazine naomba anisaidie kujibu: hivi uanzishajji wa magazine ya matangazo (ad magazine) unatakiwa kuisajili wapi? je unatakiwa uisajili Idara ya habari maelezo? Je unatakiwa kuwa na mwandishi wa habari aliyesajiliwa. ndugu zangu hapa naamanisha magazine za matangazo kama "advertisingdar" au "property ad". Je utararibu wa usajili ukoje. Naomba kusisitiza kuwa ni magazine ya matangazo tu hakuna article ya aina yoyote.
nitshakuru kwa msaada wetu.