Mambo ya kuzingatia katika uanzishaji wa magazine, soma hapa

Mambo ya kuzingatia katika uanzishaji wa magazine, soma hapa

kanyagio

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2009
Posts
1,021
Reaction score
366
wanandugu pole na majukumu,
kuna mdau mmoja kasomea masuala ya marketing huko india. sasa anakaribia kurudi na atakuwa anaishi Dodoma au Tanga.

anataka kuanzisha biashara ya masuala ya marketing mojawapo ni ad magazine.

wanajamvi mwenye ufahamu na masuala ya magazine naomba anisaidie kujibu: hivi uanzishajji wa magazine ya matangazo (ad magazine) unatakiwa kuisajili wapi? je unatakiwa uisajili Idara ya habari maelezo? Je unatakiwa kuwa na mwandishi wa habari aliyesajiliwa. ndugu zangu hapa naamanisha magazine za matangazo kama "advertisingdar" au "property ad". Je utararibu wa usajili ukoje. Naomba kusisitiza kuwa ni magazine ya matangazo tu hakuna article ya aina yoyote.

nitshakuru kwa msaada wetu.
 
Unasajiri huko huko wnako sajiri magazeti mkuu, make ni lenyewe si ni gazeti haijarisji linaandik habari zipi, so ni lazma lisajiriwe

Ila AD magazie kwa sasa yanakumbana na upinzani wa hari ya juu kabisa kutoka kwenye mitandao ya matangazo na mitandao ya kijamii ambayo watu hutangaza bure, na i think yanaenda kureplesiwa na vitu hivyo, ni kama ilivyo kwa maduka mengi kwa sasa huko ulaya na Marekani kufungwa kwa sababu ya ebuy na amazon na wakina alibaba,

Ila kikubwa ana takiwa kujipanga vilivyo kushindanda na mitandao,
 
niambie mitandao gani ya kijamii yanatangaza bure? maana blogs zote maarufu lazima ulipie tena gharama juu.. nipe hizo za kuweka tangazo bure ili nami nitumie hapo.. au unaongelea facebook?
Na je usomaje wa mitandao upoje.. tubadilishane mawazo
 
Back
Top Bottom