Mambo ya kuzingatia kijana wa kiume unapojihusisha na mahusiano ya kimapenzi

Bandiko zuli sana mkuu tena sana umeongea kila kitu ambacho nilipaswa kukisoma au kuambiwa miaka mitano nyuma. Laiti ungeweka hili bandiko humu miaka ya 2019 au hata 20 kabla yule mshenzi sijakutana nae leo hii ningekuwa mbali sana.

Ila powaa nishaamua kupiga moyo konde and now on naishi kwenye hili bandiko since 2024 mwishoni, hakika nimejiumiza vya kutoshaa ila kwasasa niseme BASII
 
Count your loss and move on.
 
Uchi hauna faida sana kwa mwanaume kama sio kwa ajili ya kuzaa
 
Na hata mapungufu yake madogo madogo unaweza kumbadilisha, ni tofauti na hao wa 30+ ambao unakutana nao wakiwa hardcore kwenye mitazamo yao ya kimaisha hata kama ina shida
Hii changamoto sana..30yrs wajuaji sana na hawataki kusikia jambo jipya masikioni mwao, to keep up with them ujikatae sana..they are different breed
 
Hii changamoto sana..30yrs wajuaji sana na hawataki kusikia jambo jipya masikioni mwao, to keep up with them ujikatae sana..they are different breed
Na iyo laborious wanayoileta kwenye maisha ya mwanaume wao wanafikiri ndio wamepevuka kiakili, ambacho hawajui wanawaume hata hatuhitaji izo akili au elimu zao. Tunachohitaji ni heshima, uaminifu na utiifu tu.
 
Kwanini hakueshimu wewe mzazi wake??kama maisha hata yeye anayamudu,si umemkuta ana ajira yake nzuri??
 
Nyie ndiyo mlitufanya tujiunge JF....
Kaka umemaliza kila kitu
 
Ukiwekwa Friendzone jiandae na mizinga, sijui michezo,mikopo, vikoba wewe ndiye utakaye kuwa mfadhili wake.
 
Well said, well noted brother πŸ‘Š
 
Japo ni ndefuu nimesoma neno kwa neno.

Ndugu yangu,
Gentleman Tlaatlaah Nina omba kupata maoni yako kwenye hii mada mbele yetu.

Shukrani sanaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…