Rion Jr
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 623
- 691
Mimi ni kijana ambaye niko jiji Dar es Salaam katika harakati za kutafuta pesa nmefikiria kununua boda boda ili niweze kujiongezea kipato lakini kutokana na boda boda mpya kuwa gharama sana nmefikiria kununua boda boda used ambayo gharama yake inaweza anzia kwenye 800k had 1.2M
Nilikuwa nauliza vitu gani nizingatie ili nisije nunua boda boda ya wizi au nikabambikiwa boda boda mbovu?
Nilikuwa nauliza vitu gani nizingatie ili nisije nunua boda boda ya wizi au nikabambikiwa boda boda mbovu?