Mambo ya kuzingatia ukitaka kununua gari Uingereza

Mkuu malizia kipande cha malipoo na gharama za magariii ya huko yakoje na kodii vipii.

Sent using mt4 app
 
Magari ya ulaya yenyewe tanatumia miles badala ta kilometres unaweza kuta gari inasoma 98,000 miles ukija kufanya conversion ni 156,800 km
To be frank, as long as car service history is provided, hizo mileage siyo ishu kwangu. Niliwahi kupata gari la diesel engine lenye 150,000+ km, hadi leo lipo vizuri zaidi ya 200,000km.
 


Mkuu habari za siku tele, naomba unitoe wasiwasi.
Kuna Daf cf85.450 ya 2015 iko uingereza kwa muuzaji Shelton motors uk

Sasa ninachoomba kujua, usalama wa fedha baada yakupata bank details zao,je hakuna utapeli wowote Mara baada ya kufanya transaction kutoka bank nbc/crdb kwenda kwao na wasitume gari ?


Napata wasi wasi Sana. Ukiiona meseji hii nkjibu kiongozi
 
Kama sio car dealer mwenye uzoefu nakushauri nunua kupitia kampuni za mawakala wanaobeba dhamana!

Hiyo direct transaction na mtu ambaye humjui inaweza kukugharimu pakubwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…