LGE2024 Mambo ya kuzingatia unapoenda kupiga Kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mtaa, leo Novemba 27, 2024

LGE2024 Mambo ya kuzingatia unapoenda kupiga Kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mtaa, leo Novemba 27, 2024

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Snapinsta.app_468484857_18354341251193701_4908455657118303137_n_1080.jpg
 
Ahsante kwa maelekezo vigezo na masharti kuzingatiwa wamesahau neno moja ukimaliza kupiga kura yako nenda kwa mkapa kuna jambo la kitaifa!
 
Utafikiri huu uchaguzi ni muhimu sana kwa raia kumbe mipango
Tu ishapangwa

Ova
 
Usilinde hapo nenda nazo nyumbani wakimaliza kupiga zirudishe bado CCM itashinda!
Ni kweli, sio ccm itashinda, hapana bali watatangazwa washindi. Jiandaeni kutangaza idadi ya kupika ya wapiga kura, lakini mkienda kwenye vituo vya kura ndio mtajua ni kwa kiwango gani watu hawaitaki tena ccm.
 
Wewe huendi kupiga kura utajuaje!
 
Nani anaenda kushiriki huo uhuni sasa? Ccm inalazimisha kutawala watu wasioitaka, unategemea watu wataenda kupoteza muda wao kupiga kura zisizoheshimiwa?
Upinzani wamejitokeza uliosusa ni wewe tu!
 
Back
Top Bottom