Dr wa Kaliua
JF-Expert Member
- Sep 20, 2020
- 1,634
- 3,833
Fitna chuki roho mbaya ujinga.Hii,Bajaj kila siku unsinunuwa hapa JF? Mbona too much?
Najua kwann. Wewe ni kishoka wa TRA tapeli nilikustukia ndio maana unaleta fitna.Hii,Bajaj kila siku unsinunuwa hapa JF? Mbona too much?
😄😄 Uko tayari kwa Vita?Subiri Hapohapo anakuja.Fitna chuki roho mbaya ujinga.
Fitna chuki roho mbaya ujinga.
ha ha ha ha kumekuchaMwanajeshi kanipiga bila kosa, muda huu naenda sumbawanga
Nimepita maeneo fulani hapa dar es salam kwenye kambi ya jeshi...kwenye njia ya wapita kwa miguu.. Naona jamaa ananita kwa dharau tena kwa kidole. Nikaona sina kosa afu ananita kwa jueuri i Nikakausha nikasepa Mara akaja mbio ety nimekataa kutii amri..nikamuuliza ulikuwa unataka nini...ety ooh...www.jamiiforums.com
Huyo jamaaa Ni kishoka wa LESSENI Sasa alitaka kunitapeli nikamshitukia ndio maana Mambo mengi [emoji2][emoji1][emoji1] Uko tayari kwa Vita?Subiri Hapohapo anakuja.
Mkuu Nashukuru Sana!Kwanza kuwa na details za kampuni unayoitaka...zipo nyingi mfano TVS, PIAGGIO, MAXIMA, RE nk
Pili lijue eneo unakotaka ifanyie kazi...Kuna maeneo watu washakariri kampuni flani na ndo zipo nyingi...ukipeleka ya tofauti itakupa changamoto kwenye service na spares au ukitaka kuiuza eneo hilo...hata madereva pia wapo wanaobagua bajaji za kuendesha.
Tatu, muhimu sana kulipia mapato nk....mfano TRA, BIMA, LATRA, FIRE EXTINGUISHER..pamoja na kufanya transfer ya jina la umiliki.
Nne, binafs rangi pia ina nafasi yake...Black and red ziko vizuri zaidi, hata ukiingia kwenye semi au mtaroni rahisi kupuliza hizo rangi tofauti na rangi nyingine.
Tano...Bajaji nzuri inunue ikiwa mpya au kuwa na uhakika na uimara wake kama ishatembea.
Sita, iwe unaendesha wewe au unampa mtu, zingatia sheria za barabarani.
Pamoja sana MkuuMkuu Nashukuru Sana!
Mungu akubariki
Nyongeza ya hapo muundo wa bajaji pia ni muhimu sana usinunue tu kisa ni bajaji bqjaji zina miundo tofauti Tafuta yenye muundo ambao ni familia sanaMkuu Nashukuru Sana!
Mungu akubariki
Sawa Nashukuru SanaNyongeza ya hapo muundo wa bajaji pia ni muhimu sana usinunue tu kisa ni bajaji bqjaji zina miundo tofauti Tafuta yenye muundo ambao ni familia sana
Vita kaitaka mwenyeweMwanajeshi kanipiga bila kosa, muda huu naenda sumbawanga
Nimepita maeneo fulani hapa dar es salam kwenye kambi ya jeshi...kwenye njia ya wapita kwa miguu.. Naona jamaa ananita kwa dharau tena kwa kidole. Nikaona sina kosa afu ananita kwa jueuri i Nikakausha nikasepa Mara akaja mbio ety nimekataa kutii amri..nikamuuliza ulikuwa unataka nini...ety ooh...www.jamiiforums.com