Mambo ya kuzingatia unaponunua Bajaj!

Mambo ya kuzingatia unaponunua Bajaj!

Dr wa Kaliua

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2020
Posts
1,634
Reaction score
3,833
Habari JF garage!

Naomba kuuliza Mambo gani ya msingi Unatakiwa kujua Mara tu unapenda kununua Bajaj.

Service
Vifaaa Kama triangle na fire extinguisher.

Na Mambo yote ya msingi hasa Bajaj ikiwa mpya

Ahsante
 
Habari JF garage!

Naomba kuuliza Mambo gani ya msingi Unatakiwa kujua Mara tu unapenda kununua Bajaj.

Service
Vifaaa Kama triangle na fire extinguisher

Na Mambo yote ya msingi hasa Bajaj ikiwa mpya

Ahsante
 
[emoji1][emoji1] Uko tayari kwa Vita?Subiri Hapohapo anakuja.
Huyo jamaaa Ni kishoka wa LESSENI Sasa alitaka kunitapeli nikamshitukia ndio maana Mambo mengi [emoji2]

Afu mtu anaejitambua hawezi kufanya Mambo ya kijinga Kama hayo
 
Kwanza kuwa na details za kampuni unayoitaka...zipo nyingi mfano TVS, PIAGGIO, MAXIMA, RE nk

Pili lijue eneo unakotaka ifanyie kazi...Kuna maeneo watu washakariri kampuni flani na ndo zipo nyingi...ukipeleka ya tofauti itakupa changamoto kwenye service na spares au ukitaka kuiuza eneo hilo...hata madereva pia wapo wanaobagua bajaji za kuendesha.

Tatu, muhimu sana kulipia mapato nk....mfano TRA, BIMA, LATRA, FIRE EXTINGUISHER..pamoja na kufanya transfer ya jina la umiliki.

Nne, binafs rangi pia ina nafasi yake...Black and red ziko vizuri zaidi, hata ukiingia kwenye semi au mtaroni rahisi kupuliza hizo rangi tofauti na rangi nyingine.

Tano...Bajaji nzuri inunue ikiwa mpya au kuwa na uhakika na uimara wake kama ishatembea.

Sita, iwe unaendesha wewe au unampa mtu, zingatia sheria za barabarani.
 
Mkuu Nashukuru Sana!
Mungu akubariki
 
Mkuu Nashukuru Sana!
Mungu akubariki
Nyongeza ya hapo muundo wa bajaji pia ni muhimu sana usinunue tu kisa ni bajaji bqjaji zina miundo tofauti Tafuta yenye muundo ambao ni familia sana
 
Kimyaa.....
Hata wauzaji, mafundi nk mno kimyaaaaaaa.....
 
Back
Top Bottom