Mambo ya kuzingatia unaponunua tairi za gari

Unamanisha mbele saizi 15 nyuma saizi 16 Au mapana ya tairi Au irefu wa tairi? Mostly fuel usage, balance ya gari inakuwa imetatizwa,

Yes, hiyo ndio maana yangu. Nimekutana na hali hiyo hivi karibu. Kuna gari lina kama miezi mitatu sasa tangia liingie Tanzania kutoka Japani lakini tairi zake za mbele hazikuwa na ubora niliokuwa na utaka mimi. Zilikuwa zimekwisha hivi. Nilipotaka kubadilisha hizo tairi (nilitaka the same size) nilizunguka mpaka nikachoka na kuna mtu akaniambia hizo itakuwa taabu kuzipata. Nikaweka size tofauti na za nyuma. Kuna ukweli kwani kwa sasa kwa mbele gari linaonekana liko juu zaidi ya nyuma kwa sababu ya ukubwa wa tairi. Madhara ya hali hii ni nini? Ni gari kukosa balance tu?

Tiba
 

Mkuu D-3,2 na N maelezo zaidi mkuu lakini kwenye L hapo nimekupata barabara
 
I think this applies mostly in manual transmission, Kwa Maana gari nyingi auto hazina 1st gear km ulivyosema,

Neno 2nd gear limetumika sababu magari ya Automatic yanatofautiana.
Mengine 2nd gear ni L, mengine D2 nk...
 

Kama hizo tairi 2 za mbele ni size moja, na pia zile 2 za nyuma ni size moja hapo hakuna tatizo. Gari imebalance.

Ila ni vizuri kuwa na saizi moja kwa zote nne kwa ajili ya muonekano wa gari.
 
Kama hizo tairi 2 za mbele ni size moja, na pia zile 2 za nyuma ni size moja hapo hakuna tatizo. Gari imebalance.

Ila ni vizuri kuwa na saizi moja kwa zote nne kwa ajili ya muonekano wa gari.


Asante mkuu wa ufafanuzi!!!!

Tiba
 

Ahsante Mkuu,

Waweza kusahihisha, P= Ply na siyo passenger?
 
Wadau naombeni mnijuze na mimi matumizi sahihi ya overdrive ikiwa on au off

Ovedrive ni gia kubwa ya mwisho kwenye automatic transmission. Mfano: Kwa kawaida automatic transmission ina gia tatu pamoja na gia ya overdrive ambayo ni gia namba nne. Overdrive gia inawezesha engine kuzunguka mara chache kwa kila dakika ( less Revolution Per Minutes - RPM) lakini wakati huohuo kuipa gari speed kubwa na hivyo kupunguza matumizi ya mafuta. Unapoweka Overdrive On, maana yake unaruhusu Gearbox ibadili gia hadi gia hadi kufikia gia namba nne pale gari inapofikia certain level of speed (ambayo imesetiwa na manufacturer - commonly inakuwa around 40 - 50 Km / Hr). Overdrive inapokuwa Off maana yake uruhusu Gearbox ibadili gia hadi kufikia gia namba tatu tu hata kama speed yako inafaa Gearbox i-shift to 4th gear.

Inashauriwa katika uendeshaji wa kawaida mfano wa mjini Dar es Salaam, Overdrive inatakiwa kuwa On. Inatakiwa kuwa Off pale unapoendesha maeneo yenye milima au ikiwa unavuta gari lingine. Aidha, inashauriwa Overdrive kuwa Off pale unaposhuka mlima mkali mfano mlima Kitonga. Hii inasaidia kutumia engine braking na hivyo kusaidia brake from overheating.

Kwa hiyo, Overdrive ina involve issue ya efficiency kwenye matumizi ya mafuta na si kwamba inafanya gari kukimbia. Watu wengi wanadhani unapoweka overdirve maana yake unafanya gari likimbie sana. Hi ni No No tena No. Overdrive is just choosing the shift pattern.

CC: mandingo6262
 
Last edited by a moderator:
Hivi ulivyotaja vyote ni minor. Kikubwa zaidi ni kuangalia Date of Manufacture ya tyre. Unaweza ukakuta tyre iko dukani mpya kumbe ilitengenezwa mwaka 2000 na ilisha-expire na ukifunga kwenye gari ina-burst. Kuna namba nne zinakuwa zimeandikwa pembeni mwa tyre kama hayo maandishi uliyoyataja hapo. Kwa mfano ukikuta 3001 inamaanisha ni tyre iliyotengenezwa wiki ya 30 ya mwaka 2001, ambayo inakuwa haifai! Inatakiwa tyre mpya isiwe zaidi ya mwaka jana, yaani iwe sanasana ya kuanzia let's 0112 (wiki ya kwanza ya January 2012) kuja huku mbele. Vinginevyo unakuwa umeliwa, huwa zinaburst hata kama ni mpya haijatumika, kumaanisha kuwa ilisha-expire!
 

Thanks kwa kuchangia maujuzi !
 

kasome vizuri OVERDRIVE NI NINI......nina gari automatic ina gear sita na hakuna OVERDRIVE....

BMW 6 Series Convertible : Six-speed sports automatic transmission Steptronic
 
kasome vizuri OVERDRIVE NI NINI......nina gari automatic ina gear sita na hakuna OVERDRIVE....

BMW 6 Series Convertible : Six-speed sports automatic transmission Steptronic

Mkuu TCleverly,
Kama nilivyoandika hapo awali button ya Overdrive inakupa tu choice of shift pattern. Kama gari yako haina button ya Overdrive maana yake gari lako huwezi kulicomand lisi-engage into the higher gear katika mazingara ambayo hutaki higher gear iwe-engaged.

Hata hivyo, Overdrive button is more famous in Toyota motor vehicles. Bahati mbaya mwenzangu umetoa link ya BMW. Pia, kumbuka si lazima gari litengenezwe na Overdrive button kwani si kitu cha muhimu sana. Is just manufacturer's option to suit his and her customer's needs. Ni kama vile baadhi ya magari yana gia hadi sita mengine yana gia tano na mengine gia nne. So huwezi sema hakuna gari lenye gia nne tu kwa sababu la kwako lina gia sita. Cars do differ in many dimensions! Nakutuma na wewe kasome vizuri kuhusu Overdrive then uje tujadiliane.
 
Last edited by a moderator:
JF ni mtandao wa maana sana !
Leo nimekagua tairi za gari yangu na nimeweza kujua kwanini ilikuwa inavuta upande.
Nimetumia fedha nyingi kwenye alignment kumbe tatizo tairi zinatofautiana size.
Thanks

Uwe pia unacheki tire pressure mara kwa mara angalau kila wiki mara moja. Watu wengi wanajisahau kucheki upepo, mtu unakuta anatembea na gari zaidi ya mwezi hajawai kupima upepo kisa eti hajapata pancha!Hili ni muhumu hasa kwa wale wanaotumia tubeless kwa sababu tairi hizo zinatabia ya kujiongeza na zingine kujipunguza upepo zinapokuwa kwenye movement.Unaweza kukuta tairi za mbele moja lina 40 PSI, lingine 37 PSI na za nyuma moja 42 PSI na lingine 44 PSI wakati iniatially hukuzipima hivyo. So in that circumstance huwezi kuwa na proper wheel balance na alignment. Even tire wearing zitatofautina.

Kingine cha muhimu ni kukumbuka kuzifanyia rotation tairi zako kila unapoenda fanya services. Tairi zilizokuwa mbele inatakiwa next service ziwekwe nyumba na next of next service zinarudi mbele lakini pia kwa kubadilisha upande zilipokuwepo. Iliyokuwa upande wa kulia inaenda kushoto na iliyokuwa kushoto inaenda kulia. The same applied to rear wheel tire. Ukifanya yote haya itasaidia ku-extend life period ya matairi yako na kizuri zaidi yote yataisha kwa pamoja kwa sababu yote yatakuwa yanapata dhoruba zote za gari.
 

modern cars zina i-system ambayo ina engage gear kulingana na unavyopress accelerator,ukitaka zichelewe kuingia,ziwahi,wewe tu unavyokanyaga...kick-back effect.....tuachane na magia turudi kwenye mada matairi....i prefer low profile 18" rear na 17" front....
 

Thanks for good advice !
 

mkuu gari yangu inafika 3 rph ikiwa na spidi 50-60 je ni tatizo maana nasikia si sawa ikiwa hv ,ni nini tatizo lake ni gx 100
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…