Bullshit
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,369
- 1,641
- Thread starter
- #21
Hivi kwa nini watanzania wengi wanaoishi marekani hawafikii malengo yao hasa wakija huku bongo kwao inakua ni shida sana yani wanakua na moto siku za kwanza halafu baadae wanakua watia huruma sana,kuna nini cha ziada nchini marekani ambapo ndugu zetu wanashindwa kutoka
Labda anaishi marekani hana document zozote.ni kupiga misele tu
Fanya mfano huu,umekuja kusoma marekani na kwa bahati nzuri umebahatika kuajiri hapa marekani,
Tufanye umesomea comouter sciencist:mshara wake ni $ laki moja na kuendelea kwa mwaka.kwa mwez mmoja tufanye una $ elfu nane.
Gharama ya nyumba kwa mwez tuweke $1000
Labda una bima$ 250
Chakula kwa mwez $ 500
Matumizi ya dharura 1000.
Jumla $2750
Imebaki $ $ 6500 hv
Tufanye kila mwezi unatunza hyo pesa au unaivest kwenye biashara hiyo pesa kweli ukirudi bongo unahuakka utakuwa fala?
Hapo ndo umeishi marekani miaka tano fanya hesabu hiii muda wa mika mitano.
Uzuri wa nchi hii haitofauti huyu masikin huyu tajiri.
Ajira marekani sio za ubabaishaji.
Vile vile elimu yao ni kubwa na kuishi hapa unaweza kujifunza vitu ambavyo vinweza kuwa fursa kwenye nchi yako.
Wanathamini mtu, kwaiyo huduma za jamii ziko vizuri.(mara ya kwanza kwenda hospitali nilipona kabla cjatibiwa,kuona jinsi gani madaktari wanaangaika kwa ajili uangu)
NB:ni vitu najivunia kuviona marekan,