Hivi kwa nini watanzania wengi wanaoishi marekani hawafikii malengo yao hasa wakija huku bongo kwao inakua ni shida sana yani wanakua na moto siku za kwanza halafu baadae wanakua watia huruma sana,kuna nini cha ziada nchini marekani ambapo ndugu zetu wanashindwa kutoka
Mi naomba kwanza kujua namna ya kuishi TanzaniaMambo muhimu ya kuzingatia au kufanya unapokuwa unaishi nchini Marekani.
Epuka kuishi kwenye miji ya anasa na panga nyumba yenye gharama nafuu.
Miliki usafiri wako mwenyewe achana na kutegemea usafiri wa umma
Fanya kazi moja na tumia weekend yako kujumuika na ndugu, jamaa na marafiki
Zingatia kufanya kazi na acha kubadili kazi mara kwa mara (wamarekani hawapendi kuzoea kazi ya sehemu moja ndomana kila mwaka wanafanyakazi wanakuwa ni wapya) ila kuna faida zake kudumu kwenye kazi muda mrefu.
Ishi au apply kwenye nyumba za serikali (nyumba za serekali uwa zina gharama nafuu ni vizuri kama unafamilia kubwa ukaomba kupatiwa nyumba ya serikali).
Zingatia sheria za nchi(unauwezo wa kufanya unachotaka kuishi unavyotaka ila isiwe kinyume na sheria)
Pendelea kutumia huduma zinazo tolewa na serikali kama vile: shule, usafiri, hospitali, bima, wi fi nk..
Omba kadi ya bure ya chakula kutoka serikaili (ikiwa huna kipato cha kukidhi mahitaji yako
Pendelea kujiunga kwenye mashirika mbali mbali yanaotoa misaada mbali mbali.(mashirika ni mengi yanayo shughuli matatizo ya watu nchini Marekani na wanatoa misaada mbali mbali kwa wanafamilia,mfano kuwapeleka watoto shule, kuwanunulia chakula, nguo nk...)
Nunua vitu vyenye gharama nafuu au ambavyo zimetumika (kuna maduka ambayo ununua vitu hapo na kuviuza hapo hapo ni vizuri kupendelea kununua bidhaa zako hapo kama vile meza, sofa, laptop nk..ila maduka haya yanatumia cash na sio ya public sana).
Hakikisha unamiliki kadi za maduka yote unayotembelea kununua bidhaa zako (maduka makubwa yanatoa kadi ya mteja,ukiwa na kadi yao ina maanisha wewe ni mteja wao na uwa wanapunguza bei kwa kila bidhaa utakayo nunua.mfano umenunua kitu $50 ila ikiwa una kadi utanunua mfano kwa $ 45)
Pendelea kunua vitu vya mkopo (Wamarekani ni watu wana amini sana vitu vya mkopo, mfano unataka kununua nymba, gari, kwa pesa kadhaa si vyema ukalipa yote ni bora ukope uwe unalipa kidogo kidogo kwa kila mwezi. Sio kutoa yote kwa mkupuo)
Kuwa mtu wa watu, mchangamfu, usijifanya kujua sana na usichokijua uliza.
NB: Tukutane next post. Unaweza kuchagia pia na unaruhusiwa kuuliza.
Yaani acha tu mkuu...ni Poverty Mentality at its Best Level!Unatoka nchini mwako unaenda kuishi kwa kutegemea misaada nchi nyingine. Pathetic!
Mambo muhimu ya kuzingatia au kufanya unapokuwa unaishi nchini Marekani.
Epuka kuishi kwenye miji ya anasa na panga nyumba yenye gharama nafuu.
Miliki usafiri wako mwenyewe achana na kutegemea usafiri wa umma
Fanya kazi moja na tumia weekend yako kujumuika na ndugu, jamaa na marafiki
Zingatia kufanya kazi na acha kubadili kazi mara kwa mara (wamarekani hawapendi kuzoea kazi ya sehemu moja ndomana kila mwaka wanafanyakazi wanakuwa ni wapya) ila kuna faida zake kudumu kwenye kazi muda mrefu.
Ishi au apply kwenye nyumba za serikali (nyumba za serekali uwa zina gharama nafuu ni vizuri kama unafamilia kubwa ukaomba kupatiwa nyumba ya serikali).
Zingatia sheria za nchi(unauwezo wa kufanya unachotaka kuishi unavyotaka ila isiwe kinyume na sheria)
Pendelea kutumia huduma zinazo tolewa na serikali kama vile: shule, usafiri, hospitali, bima, wi fi nk..
Omba kadi ya bure ya chakula kutoka serikaili (ikiwa huna kipato cha kukidhi mahitaji yako
Pendelea kujiunga kwenye mashirika mbali mbali yanaotoa misaada mbali mbali.(mashirika ni mengi yanayo shughuli matatizo ya watu nchini Marekani na wanatoa misaada mbali mbali kwa wanafamilia,mfano kuwapeleka watoto shule, kuwanunulia chakula, nguo nk...)
Nunua vitu vyenye gharama nafuu au ambavyo zimetumika (kuna maduka ambayo ununua vitu hapo na kuviuza hapo hapo ni vizuri kupendelea kununua bidhaa zako hapo kama vile meza, sofa, laptop nk..ila maduka haya yanatumia cash na sio ya public sana).
Hakikisha unamiliki kadi za maduka yote unayotembelea kununua bidhaa zako (maduka makubwa yanatoa kadi ya mteja,ukiwa na kadi yao ina maanisha wewe ni mteja wao na uwa wanapunguza bei kwa kila bidhaa utakayo nunua.mfano umenunua kitu $50 ila ikiwa una kadi utanunua mfano kwa $ 45)
Pendelea kunua vitu vya mkopo (Wamarekani ni watu wana amini sana vitu vya mkopo, mfano unataka kununua nymba, gari, kwa pesa kadhaa si vyema ukalipa yote ni bora ukope uwe unalipa kidogo kidogo kwa kila mwezi. Sio kutoa yote kwa mkupuo)
Kuwa mtu wa watu, mchangamfu, usijifanya kujua sana na usichokijua uliza.
NB: Tukutane next post. Unaweza kuchagia pia na unaruhusiwa kuuliza.
Hayo ya vya bure au nafuu, ndio Trump anawasaka awatimue, ni mzigo.Mambo muhimu ya kuzingatia au kufanya unapokuwa unaishi nchini Marekani.

nafikiri hizi gharama huwezi kuzilinganisha na umuhimu wa gari lako.Kwa nini uachane na usafiri wa umma na ununue usafiri wako mwenyewe?
Kumiliki usafiri wako mwenyewe si gharama zaidi kuliko kutumia usafiri wa umma?
Kuliko nchi yko yenye laana iliyojaaa rasilimali kibao lakini hazna faida si mliambiwa gesi ikianza kuchimbwa mtakuwa na umeme wa bei nafuu vp mmeanza kula matunda ya gesi yenu?Nchi imejaa laana ya ubaguzi
Hiyo nchi yako yenyewe bajeti yake inategemea misaada ya wadau piaUnatoka nchini mwako unaenda kuishi kwa kutegemea misaada nchi nyingine. Pathetic!
Ukisoma kwenye vyuo vyao huko hawakati deni kama lile la board ya mikopoLabda anaishi marekani hana document zozote.ni kupiga misele tu
Fanya mfano huu,umekuja kusoma marekani na kwa bahati nzuri umebahatika kuajiri hapa marekani,
Tufanye umesomea comouter sciencist:mshara wake ni $ laki moja na kuendelea kwa mwaka.kwa mwez mmoja tufanye una $ elfu nane.
Gharama ya nyumba kwa mwez tuweke $1000
Labda una bima$ 250
Chakula kwa mwez $ 500
Matumizi ya dharura 1000.
Jumla $2750
Imebaki $ $ 6500 hv
Tufanye kila mwezi unatunza hyo pesa au unaivest kwenye biashara hiyo pesa kweli ukirudi bongo unahuakka utakuwa fala?
Hapo ndo umeishi marekani miaka tano fanya hesabu hiii muda wa mika mitano.
Uzuri wa nchi hii haitofauti huyu masikin huyu tajiri.
Ajira marekani sio za ubabaishaji.
Vile vile elimu yao ni kubwa na kuishi hapa unaweza kujifunza vitu ambavyo vinweza kuwa fursa kwenye nchi yako.
Wanathamini mtu, kwaiyo huduma za jamii ziko vizuri.(mara ya kwanza kwenda hospitali nilipona kabla cjatibiwa,kuona jinsi gani madaktari wanaangaika kwa ajili uangu)
NB:ni vitu najivunia kuviona marekan,
Ukisoma kwenye vyuo vyao huko hawakati deni kama lile la board ya mikopo
Hapo unazungumzia mtanzania ambae hana familia,vipi gharama zake kama akiamua kuwa na watoto?
Nina maanisha elimu kwa watoto,bima nk.
Nilichokugundua hapa watu ambao ninaokutana nao ambao wameishi marekani ni kwamba hawana ajira za uhakika wakiwa kule marekani kama ulivyosema wanapiga misele tuWatoto bima ni bure,na ukiwa na watoto tax huwa ni dogo sana kama walikuwa wanakukata 5000 kwa mwaka basi jua watakata 1500.vile kuna faida ya kuwa na familia nchini marekani.
Ukiaply tax return,ukiwa na watoto watatu huwa wanazdisha mara tatu ya pesa uliotumikia.mfano tax yako ilikuwa 3000 kwaiyo jua watakupa elf kumi na 1,vile vile mtoto anapozaliwa nchini marekani huwa kuna kadi maalumu ya chakula kwa ajili ya watoto,na tena utampeleka kwenye ktuo cha kulelea watoto akiwa na miez sita.hzo ni faida za familia
Mkuu nimebahatika kushinda lottery 2020,, hvyo panapo majaliwa, mwanzon mwa mwaka kesho, naweza kuja huko.Mambo muhimu ya kuzingatia au kufanya unapokuwa unaishi nchini Marekani.
Epuka kuishi kwenye miji ya anasa na panga nyumba yenye gharama nafuu.
Miliki usafiri wako mwenyewe achana na kutegemea usafiri wa umma
Fanya kazi moja na tumia weekend yako kujumuika na ndugu, jamaa na marafiki
Zingatia kufanya kazi na acha kubadili kazi mara kwa mara (wamarekani hawapendi kuzoea kazi ya sehemu moja ndomana kila mwaka wanafanyakazi wanakuwa ni wapya) ila kuna faida zake kudumu kwenye kazi muda mrefu.
Ishi au apply kwenye nyumba za serikali (nyumba za serekali uwa zina gharama nafuu ni vizuri kama unafamilia kubwa ukaomba kupatiwa nyumba ya serikali).
Zingatia sheria za nchi(unauwezo wa kufanya unachotaka kuishi unavyotaka ila isiwe kinyume na sheria)
Pendelea kutumia huduma zinazo tolewa na serikali kama vile: shule, usafiri, hospitali, bima, wi fi nk..
Omba kadi ya bure ya chakula kutoka serikaili (ikiwa huna kipato cha kukidhi mahitaji yako
Pendelea kujiunga kwenye mashirika mbali mbali yanaotoa misaada mbali mbali.(mashirika ni mengi yanayo shughuli matatizo ya watu nchini Marekani na wanatoa misaada mbali mbali kwa wanafamilia,mfano kuwapeleka watoto shule, kuwanunulia chakula, nguo nk...)
Nunua vitu vyenye gharama nafuu au ambavyo zimetumika (kuna maduka ambayo ununua vitu hapo na kuviuza hapo hapo ni vizuri kupendelea kununua bidhaa zako hapo kama vile meza, sofa, laptop nk..ila maduka haya yanatumia cash na sio ya public sana).
Hakikisha unamiliki kadi za maduka yote unayotembelea kununua bidhaa zako (maduka makubwa yanatoa kadi ya mteja,ukiwa na kadi yao ina maanisha wewe ni mteja wao na uwa wanapunguza bei kwa kila bidhaa utakayo nunua.mfano umenunua kitu $50 ila ikiwa una kadi utanunua mfano kwa $ 45)
Pendelea kunua vitu vya mkopo (Wamarekani ni watu wana amini sana vitu vya mkopo, mfano unataka kununua nymba, gari, kwa pesa kadhaa si vyema ukalipa yote ni bora ukope uwe unalipa kidogo kidogo kwa kila mwezi. Sio kutoa yote kwa mkupuo)
Kuwa mtu wa watu, mchangamfu, usijifanya kujua sana na usichokijua uliza.
NB: Tukutane next post. Unaweza kuchagia pia na unaruhusiwa kuuliza.
Inategemea upo jimbo gani, kuna majimbo mengine usafiri wa umma una gharama kubwa kuliko kumiliki gari binafsiKwa nini uachane na usafiri wa umma na ununue usafiri wako mwenyewe?
Kumiliki usafiri wako mwenyewe si gharama zaidi kuliko kutumia usafiri wa umma?
Mayor hii ngumi jiweUnatoka nchini mwako unaenda kuishi kwa kutegemea misaada nchi nyingine. Pathetic!
Kwani wewe upo kwenye nchi ambayo haipokei msaada?
Nchi yako hiyo hiyo haiwezi kujiendesha yenyewe bila msaada wala mkopo
Unajifanga mjanja kumbe upo mule mule mjingamjinga tu