[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakati watu wakiwa wanakata tiketi wanaangalia majina. Siku moja nasafiri, kuangalia list ya abiria kwenye chat, nikaona jina Irene Emmanuel si nikajiweka pembeni yake. Kilichonipata ndio hiki sasa!!!!
Kumbe zigo lenyewe ndio hili, nilisafiri kwa kukalia nusu tako toka Dar hadi Kigoma.
View attachment 2594669
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ndio wale mnafungulia ear phones zenu kwa sauti kubwa, halafu mnaja.ba bwiiiiiìiiiii kwa sauti mkiamini mtu wa pembeni hawezi sikia kwa sababu ya unene na ukubwa wa muziki, kumbe muziki unausikikiza peke yako
.8. Usipake pafyumu kali za kukereketa wenzio. Sambamba na hilo piga mswaki vizuri ni kero kukaa na abiria anayenuka mdomo hasa anapokusemesha.
We siyo mstaarabu,ungenunua hata bigijii ili usiwe kero Kwa wengineKuna siku nilikua nimelewa sana halafu kwenye bus nilipanda kama staff(dereva tunajuana,classmate wangu)....
Sasa ile naingia tu harufu ya konyagi ikasambaa bus lote..
Kuna mwanamke akaropoka"naona mmepakia pipa la komoni humu mnatukera"...kumbe naenda kukaa nae kwenye seat moja,,,nilisafiri kwa manyanyaso...
Mwisho dereva akaniita nikaenda kukaa nae pale mbele akaninunulia na konyagi nyengine...
Unakutana na mtu ana constipated au ana halitosis kubabake. Unaweza omba kubadilishiwa siti. Halafu watu wanaonuka midomo wanapenda sana kuleta story sijui kwann. Nikama wanakuwa wameshahisi kuwa midomo yao inatema ila wao wapo busy kulazimisha kuwa haitemi.Hapo kwenye kunuka mdomo umemaliza Kila kitu
Kuna ile tabia ya kuomba ukurasa wa gazeti yaani umchambulie umpatie kipande.#5 aisee, kabla hujamaliza kusoma gazeti mtu anakuomba apitishe macho kidogo.
Kama story ya kweli hivi.Hii ni muhimu mno. Nilikuwa nakwenda Morogoro na basi la Abood la mwisho kabisa kutoka Dar.
Nilipata siti ya mwanzo kabisa nyuma ya dereva. Nilikuta kuna binti tayari keshakaa jirani ya siti yangu. Kama ilivyo uungwana nikamsalimia. Binti alinishusha na kunipandisha akachuna.
Nilikuwa nimechoka na mambo yangu, sikumtilia maanani nikauchuna na simu yangu. Tulipofika chalinze nilinunua maji na korosho, kama ilivyo uungwana nimkamkaribisha, demu, kimya. Hapo hapo na yeye alinunua maji akatoa noti ya 10,000. Jamaa akamwambia hana chenji na bus linataka kuondoka. Nikamwambia jamaa (ni wale wanaouza ndani ya bus) ampe nikamlipa. Kwa aibu akatoa asante ya chini chini. Sikumjibu.
Kufika Morogoro sasa, kumbe ilikuwa anaenda kukutana na mwanaume. Jamaa kila akipigiwa simu hapokei na mwisho akazima simu kabisa. Nililijua hili maana alianza kupiga simu toka tupo Mikese.
Nilipakia spare kwenye boot, hivyo tulipofika Moro ilibidi niwe mpole mpaka mizigo ya wengine iishe. Ndio bi dada ikabidi ajilete kipole kuuliza kama mimi ni mwenyeji Morogoro. Nikamwambia si mwenyeji nimekuja mara moja nageuza kesho yake.
Ikabidi sasa usister duu aweke pembeni aanze kufunguka ukweli. Kuwa alikuja kukutana na bwana 'ake na ndie aliemtumia nauli.
Ilikuwa ana Sh. 10,000 tu mfukoni na hajui pa kwenda maana mshkaji kaingia chaka.
Ikabidi nimwambie asubiri nichukue mizigo yangu halafu nitaona cha kumsaidia. Uzuri mwenye spare ilikuwa anazipokelea hapo hapo Msamvu. Nikaenda kuchukua chumba lodge na mgeni wangu nyuma. Baada ya hapo hatukutongozana tena. Alijuwa wajibu wake na maringo alitupa pembeni tena.
Msela wake alikuja kumtafuta asubuhi tukiwa tunajiandaa kuondoka akiomba samahani kuwa simu ili stuck touch akashindwa kupokea. Itoshe kusema kuwa jamaa alitukanwa kila tusi la duniani, mimi na cha maringo wangu tukarudi dar na kuendeleza libeneke kwa miezi kadhaa mbele mpaka nilipoamua kumpotezea kutokana na demu kuwa na shida za kila siku kuliko hata mkimbizi wa Sudan.
BigG haiondoi harufu. Kinachoondoa harufu ni ndizi mbivu. Ukiamka na harufu ya pombe. Kula ndizi mbivu kadhaa. Harufu itaondoka lakini hangover inabaki pake pale.We siyo mstaarabu,ungenunua hata bigijii ili usiwe kero Kwa wengine
🤣😅[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee we jamaa umetisha sana.😁Kuna siku nilikua nimelewa sana halafu kwenye bus nilipanda kama staff(dereva tunajuana,classmate wangu)....
Sasa ile naingia tu harufu ya konyagi ikasambaa bus lote..
Kuna mwanamke akaropoka"naona mmepakia pipa la komoni humu mnatukera"...kumbe naenda kukaa nae kwenye seat moja,,,nilisafiri kwa manyanyaso...
Mwisho dereva akaniita nikaenda kukaa nae pale mbele akaninunulia na konyagi nyengine...
Eyooooo gwe jhubhaaaaaa....... mwana kondoo mrembo mringaji anamfuata kaka chinjachinja 🇨🇳, akachinjwe kwa hiari yake mwenyeweItoshe kusema kuwa jamaa alitukanwa kila tusi la duniani, mimi na cha maringo wangu tukarudi dar na kuendeleza libeneke kwa miezi kadhaa mbele mpaka nilipoamua kumpotezea kutokana na demu kuwa na shida za kila siku kuliko ha
Usipende kutongoza tongoza hovyo ukiwa safarini.1. Salimia unayemkuta kwenye siti maana hujui ya baadae. Inakera hukusalimia halafu baadae unaanza kuuliza "Eti hapa tumefika wapi?" 🙄🙄🙄
2. Kuwa mstaarabu unapoingia kwenye basi hasa kama tayari unajua siti yako haina haja ya kugombania mlangoni.
3. Sikiliza nyimbo na video za kwenye simu yako kwa kutumia earphones kwani kinachokufurahisha wewe kwa mwingine yawezekana ni kero.
4. Usiongee na simu kwa sauti kubwa hasa mambo yako binafsi kwani hakuna anayehitaji kujua mambo yako.
5. Kuwa mwangalifu unaposinzia epuka kumlalia jirani yako unaposinzia. Sambamba na hilo soma gazeti lako kwa uangalifu sio unalitandaza hadi linagusa pua ya mwenzako.
6. Usilazimishe kuchungulia dirishani kila mara wakati umekaa siti ya katikati, hiyo ni kero kwa aliyekaa dirishani.
7. Kama unasafiri na watoto wakatie siti yao isiwe kero kwa jirani yako. Unasafiri na watoto watatu kwenye siti moja ni kero kwa jirani yako na kwa watoto.
8. Usipake pafyumu kali za kukereketa wenzio. Sambamba na hilo piga mswaki vizuri ni kero kukaa na abiria anayenuka mdomo hasa anapokusemesha.
9. Msome abiria uliyekaa naye kama hapendi kusemeshwa usimsemeshe semeshe, mwache, wengine wana mambo yao kichwani, wengine wanaenda kwenye misiba, wengine wamefukuzwa na waume zao huko walikotoka, sio kila mtu anapenda kuongea safarini.
10. Kama unajijua una tatizo la kutapika safarini jiandae mapema kwa kuwa na vifaa vya kukusaidia kwenye hali hiyo.
Ongezea la kwako hapo kama unalo.
Usiombe ukae siti moja na yero sopai.... umkute hajaoga mwezi mzima, anajisindilia tu mafuta ya samli na joto la Dar, hapo mnaenda ArushaKuna raia huwa wanalala stand siku ya safari no kuoga no mswaki ukipangwa nae siti moja utajuta
hahaha,wasambaa na Mambo yetuNa hapo ulipo umefunga na ukifungulia tu straight kwenye nyagi kama kawaida.
Hapo namna tisa hapo inanikumbusha wasambaa kwenye mabasi yao wote wanapewa mifuko maalum kwa ajili ya kutapika.
It was a new experience for me ila washambaa wanafurahisha sana na mambo yao.