Radio Producer
JF-Expert Member
- Feb 4, 2011
- 726
- 320
Huyo Babu analinda Hati Milki (COSOTA) yake kuhusu hiyo dawa ndio maana hataki kuwashirikisha wengine, wabongo hawakawii kuichakachaua dawa yake. Na kuhusu masharti mengine, hata Naaman (yule wa kwenye Biblia) aliwepewa masharti ya kujichovya mara saba, kapona.
Alichovya yeye kwa ridhaa na uhuru wake wakati akiwa na uwezo wa kukabili ugonjwa wake! Sasa wanaozidiwa wamesubiri kuchoivya hata wengine ikiwezekana kufa unalizungumziaje??