Mambo ya kwa Babu LOLIONDO

Alichovya yeye kwa ridhaa na uhuru wake wakati akiwa na uwezo wa kukabili ugonjwa wake! Sasa wanaozidiwa wamesubiri kuchoivya hata wengine ikiwezekana kufa unalizungumziaje??
 
Umeanza kwa kusema "dawa ya Mungu haina masharti" then umeongeza " hata ukipewa sio masharti kama ya Loliondo" sasa unataka tuamini lipi?

Soma maelezo yote mbona mnapenda shortcut sana?? ndio maana mnaenda loliondo kukiona kitu kwa shortcut!
 
Pumba producer bana! Aaah sorry redio kumbe!
 
Alichovya yeye kwa ridhaa na uhuru wake wakati akiwa na uwezo wa kukabili ugonjwa wake! Sasa wanaozidiwa wamesubiri kuchoivya hata wengine ikiwezekana kufa unalizungumziaje??

Kama huna imani na dawa ya Babu kaa kimya usivunje moyo wengine, huu ni upumbavu kabisa!!!!
 
Huyu mgonjwa ana hasira nenda kanywe naamini ukirudi utakua umepona na hasira zimeisha kabisaa
 
nawasi wasi muda siyo mrefu watu wa TRA watekwenda kuchukua kodi kwa mzee wa dawa!
 
Kama huna imani na dawa ya Babu kaa kimya usivunje moyo wengine, huu ni upumbavu kabisa!!!!

Ukweli mara nyingi huwa tunaupinga ndio maana hata CDM inapingwa ila baadaeeee ukweli utakuwa wazi! na kwahali hii itafikia vifo hata zaidi ya kumi kwa siku kwani amesema jana itamchukua mtu mmoja mwezi 1 kuonana nae kwani watu kutoka nje watakuja kwa wingi hapo sawa!
 
duh, hii kali, nadhani ni bora kuwa na uhakika wa jambo kuliko kuhukumu bila uhakika. nenda kapewe dawa na babu usipopona njoo tuandikie:mullet:
 
ungeshauri uwekwe utaratibu wa watu kutibiwa na huduma za kijamii zipelekwe haraka sio kucritisize huduma ya Babu, huenda hayajakukuta.
 
ungeshauri uwekwe utaratibu wa watu kutibiwa na huduma za kijamii zipelekwe haraka sio kucritisize huduma ya Babu, huenda hayajakukuta.

Sasa utawekwaje utaratibu wakati yeye kasema kila kitu yeye tu?
 
Wana Jf nivumilieni tu nimuulize huyu aliyepost kuhusu mganga wa loliondo kuweka masharti ya kutoa dawa mwenyewe, swali moja

NAAMANI JEMADARI WA JESHI LA WASHAMI ALIPOAMBIWA NA MTUMISHI WA MUNGU ELISHA KUWA AKAOGE MARA SABA MTO YORDAN HAPAKUWA NA MITO KWAO? HATA ELISHA ALIKUWA MGANGA WA KIENYEJI KUMPANGIA MASHARTI? (lazima aoge mara 7, mto Yordan?)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…