Mambo ya kwa Babu LOLIONDO

Mambo ya kwa Babu LOLIONDO

watanzania tunapenda sana kuishi.. hatutaki kusacrifice maisha yetu.... kama ni kufa tutakufa tu........ hadi jana mzee kashajikusanyia bilion 1.3...... great business


hebu sema tena kwa sauti nisikie......ridia mkuu
 
Nenda ukanywe dawa kwa babu acha ubishi watu wanashuhudia kupona.

Sio kila mtu anakalama....wachache wamebarikiwa

Kwa dunia ya sasa watu tunahitaji kuwa waangalifu na kutumia elimu yetu sawasawa! Katika ulimwengu wa kichwi wewe unafikiri hata kama ukipona unauhakika gani wa kuendelkea kuwa na uponyaji?? kuna uwezekano wa kupandikiziwa madudu mengine ambayo madhara yake ni hapo baadae!
 
Habari Za wandugu wa JF,
Nimeamini kuwa kilichosemwa na BIBLIA hakitabadilika hata kama ni kwanini.

1.WATU HAWA WANAMACHO LAKINI HAWAONI, WANAMASIKIO LAKINI HAWASIKII.
2. WENGI WATAKUJA KWA JINA LA MUNGU.

Tusibabaishwe na mganga wa Loliondo ukweli hakuna Mungu wa namna hiyo yeye angetumia tu jina la Mganga wa kienyeji sio Mungu unajua ni kwanini?
a. Dawa ya Mungu hainaga masharti, hata ukipewa sio masharti kama ya Loliondo eti hakuna mtu mwingine kukupa dawa hiyo ukanywa zaidi ya yeye peke yake swali: Watumishi wa Mungu Loliondo ni yeye peke yake? kama wengine wapo kwanini wasisaidiane? si kumpa tu mtu maji anakunywa??
b. Kwanini mti huo kama umefunuliwa na Mungu ukitumiwa na wengine usiponye?? Maana yake Mungu ameanza lini kutufundisha ubinafsi na uchoyo?

Nikomee hapa nitarudi! View attachment 24640
nenda wala usirudi
 
Ndugu, ujue kuna kitu kinaitwa karama. Na karama ni tunu ya bure kutoka kwa Mungu anayopewa mtu kama Mungu atakavyo kwa faida ya wengi. Kwa hiyo basi huwezi kumlazimisha Mungu ampe kila mmoja karama hiyo. Huwezi sema kwa nini mchungaji huyo tu kapewa na si wengine? Mungu kaamua hivyo! Kasome vizuri maandiko.

Ingia ndani ya maandiko ya Mungu na uelewe nini maana ya karama! ukielewa maana ya karama hata hutasema karama hiyo! Kazi ya Mungu na zawadi zote za kiroho anazotupa Mungu zi wazi kwa watu wote na kwamba zinaweza kufanywa na mtu yeyote kama zimekubalika kwa Bwana! ndio maana mamlaka wapewa wote na formula iko wazi! Mungu ni mjinga hata aruhusu watu wafe wakiubiri mtu mmoja?? kama Mungu ametoa tiba kwanini asiongeze na wahudumu?? haoni??
 
Mods hii siyo breaking news, ibadilisheni, inapotezea muda watu na wakati kilichoandikwa ni uongo.
 
mh! Inachosha kwa kwel! Npo ar, kn wa2 km wa4 hv majiran zng walienda loliondo kwa ttzo la sukar, wamepta dawa hakn alyepona, wamerudia dawa zao za sukar. Celew inakuaje hapo.
 
mh! Inachosha kwa kwel! Npo ar, kn wa2 km wa4 hv majiran zng walienda loliondo kwa ttzo la sukar, wamepta dawa hakn alyepona, wamerudia dawa zao za sukar. Celew inakuaje hapo.

Wape ukweli ndugu yangu! Watu wanamacho lakini hawaoni wanamasikio lakini hawasikiii!
 
Tatizo apo ni umadrasa na kuogopa kusilimishwa kwa jina la YESU. Turudi kwenye mada, ivi Yesu alipomponya yule kifofu kwa tope la mate yake, alimpa sharti la kwenda kunawa uso wake popote tu hata nyumbani au kuna sehemu alimwambia aende?
 
Habari Za wandugu wa JF,
Nimeamini kuwa kilichosemwa na BIBLIA hakitabadilika hata kama ni kwanini.

1.WATU HAWA WANAMACHO LAKINI HAWAONI, WANAMASIKIO LAKINI HAWASIKII.
2. WENGI WATAKUJA KWA JINA LA MUNGU.
Nikomee hapa nitarudi! View attachment 24640
Radio producer, mbona unazidi kutuaibisha?.
Tangu ile siku yako ya kwanza, umeingia jf kwa kutafuta kazi ya redio, eti umesoma sana!.
Kwa mtu wa redio kama wewe, hii ndio breaking news gani?.
Pasco.
 
hivi wewe radio producer .... ina maana wewe hutaki watu wapone....! kweli binadamu tupo tofauti
 
Kama ni kweli inaponya, ni vema huyo babu akaendele kuitoa mwenyewe na sio kuwapa wengine, maana watu hawatakawia kuichakachua!
 
dah loliondo loliondo mmmh imekuwa mwimbo wa taifa sasa
 
Back
Top Bottom