Uki-refer post # 20, inanifanya ni-recall 'bad romance' ya muziki na entertainment yetu ya kibongo na wale cartel leaders hususan ktk kadhia za hivi karibu za Mr. Sugu etc, it all combine the pieces na ku-make one big picture which makes sense. Huezi ku-hit high stakes kaa hujaji-submit kwa namna moja au nyingine kwa shetani au madadali wake.
Kuna story kuwa Lucipher alikuwa mshereheshaji huko peponi kabla ya kuasi, na anatumia ipasavo sanaa hususan muziki ktk kazi zake, kwa sababu ni expert ktk huo muelekeo. He is your enemy and he wants you drugged,hopeless,miserable and eventually, dead.