Mambo ya Linda Bezudenhout ndani ya USA


Just relaxy, You're better than this, when i mention or tag u that means u exist in my state of VIP's.
 

Exactly! shida ya wengi iko hapo, ila just take it easy maidia, watu kibao tu wako hivyo, wanataka kusikia the positive side baaasi, na hapo ndo unafiki unapoanziaga
 
Give a credit where it is due. There is a difference between a critic and a hater. Huwa naona a lot of haters wanapretend to be critics. Na hii ndo ipo kwa sana kwa wabongo. Critic huwa ana offer constructive criticism. Hater huwa anatoa ushauri sio kwa sababu anapenda kuboresha kazi ya anayemshauri bali ana lengo tu la kukuumbua kwa mwamvuli wa kukupa ushauri. You can tell the difference between the two kwa tone ya lugha wanayotumia wote wawili. Kuna watu they like to offer opinions katika masuala ambayo hawana uelewa nayo. Mara nyingi hawa ni haters ambao wanajifanya kuwa ni macritic kumbe they just say it ili kuonyesha kwamba fulani si chochote wala si lolote. Dada lara1 wewe ni mmoja wa watu ambao opinion zao ziko subjective to how they personally like mtu fulani na hawawezi kutoa comment bila kuwa overcrowded na feeling zao binafi bwa ha ha. Hiyo nimeona hata kwa bloggers wengi wa kibongo. Don't attack me I am just analysing things
 
Last edited by a moderator:

hata mi nimeona Lara 1 anakitu zaidi maana lugha anayotumia sio ya kumrekebisha mtu ni kukosoa tena kwa chuki.
 
Last edited by a moderator:

I AM NOT BIASED BUT I JUST DIDNT LIKE THE TURBAN! That is all!
 
hata mi nimeona Lara 1 anakitu zaidi maana lugha anayotumia sio ya kumrekebisha mtu ni kukosoa tena kwa chuki.

HAHAHAHAAAAAAAAAAA! Nacheka kwa masikitiko, mbona mnataka kunikosanisha na Linda mburushi? WHY PEOPLE? WHY?

Mlitaka nitumie lugha gani kwa mfano? Mnanichimba chimba mna yenu si bureeee.

KINACHONISIKITISHA MIMI LARA 1 NIMETUMIA BUNDLE LANGU KUANGALIA PICHA, NIMEOTA SUGU ZA VIDOLE KU COMMENT HAPA, NA NIMESFIA SI KIDOGO GAUNI LA MTEJA NA MAMBO KIBAO, MPAKA LEILA NIMEMSIFIA NA LINDA NIMEMSIFIA ALIKUWAGA HOMA YA JIJI ENZI ZAKE, YET STILL I AM THE VILLAIN HERE???????????

Lakini nyie fans ushuziii hamjatoa hata neno moja kuhusu hio event, wala kumlamba makalio Linda mwenyewe kuwa kapendeza ama nene, blah blah blah kuonesh support, makalio juu juu kama breki ya boeng mnapata sugu kuchambua Lara 1 kasema nini, na kushupaliaaa. MLIPOSIFIA NYIE WAPI???????????/ Kuna kitu mnanichimba nyie si bureeee.

Linda mwaya usiwasikilize hawa wanataka kutuchonganisha bureee, wakati mi followerwako Insta wa @LB Apparel. Hata account yako ya Insta hawaijui kazi kungaa sharubu tu humu ndani kama zimepigwa kiwi.
 
I AM NOT BIASED BUT I JUST DIDNT LIKE THE TURBAN! That is all!
I am just an observer. Usimaindi sana Dada. Jamii forums is just a fictional life. Kila mtu kajitengenezea character yake but in real life kila mtu yupo kivingine.
 
I am just an observer. Usimaindi sana Dada. Jamii forums is just a fictional life. Kila mtu kajitengenezea character yake but in real life kila mtu yupo kivingine.

HAHAHAAAAAAAAAA! Sasa hapo nilicho mind nini kwa mfano? Kusema kwamba sikulipenda lemba ama nene? Mxiuuuuuuuuuuuuuuu! Embu nisiendelee kuota sugu za bure bure vidoleni.
 
Hahahahaaa! Sasa ulitaka awe nani? Malaka ama nene? Sazingine nabakia kucheka tu kwa masikitiko, shabiki maandazi unatiwa amira kijiko unaumuka bezeni zima! Hahahahaaaaaa!

awe linda
mashallah lindaaaa
 
awe linda
mashallah lindaaaa

Hahahaaa! Linda la nguo au la koh koh koh, sketi ya shuleeee? Hapo umeumuka mpaka kwenye beseni umepita sahivi unaenda kujaza simtank! Hahahaaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…