Mambo ya Linda Bezudenhout ndani ya USA

Hahahaaa! Linda la nguo au la koh koh koh, sketi ya shuleeee? Hapo umeumuka mpaka kwenye beseni umepita sahivi unaenda kujaza simtank! Hahahaaaa!
hamna siwezi kuumuka kwa vtu vidogo hv
 
She is beautifull na kazi nzuri ila the dress is too much busy
 
Naanza kuamini wanawake hampendani, ila vyovyote vile mwenzenu ndio kashatoboa.

nyie wanaume mnapendana?....au ndio mmezoea tu kusema hivi? ivi nyinyi huwa hampishanagi maneno? inamaana wanaopenda huwa hawatofautiani kwa lolote?
 

Mama la mama achana nae huyo.Nahisi ni kibaraka wa mtaa wa pili kule kwa mama maronya ronya.Mwenzao kafulia nyodo zote zimemuisha wafuasi wake wamebaki wanajitutumua kucriticize vitu ambavyo kiukweli walitakiwa tu kusifia.Fanya yako.Asipokupenda huyo sisi tunakupenda tu.Kwanza hakuna designer wala fundi cherehani yoyote mtanzania aliewahi kumvalisha staa wa mbele let alone kukanyaga red carpet ya big event kama Oscars.babuuu weee wataumwa sanaaaa na mwaka huu India itawahusu maana kwa bongo dawa yao hawatoipata mmmxxxxiiiieeeww!!!!
 

You always make me laugh segito wa kalenga!
Hahahaaa kuna comment yako moja hivi mpaka leo sitoisahau aiseeee
 
Last edited by a moderator:
Tangazo la Event ilikuwa tarehe 22 na publish ya yaliojiri imetoka tarehe 23.

Una lingine?
linda namkubali sana
kila nikimwangalia najiuliza kwa nini marytina naonekana mzee wakati linda kanipita zaidi ya miaka kumi anachanua
 

Owk sasa nimefahamu kumbe mlikuwa naye toka ujanani.
Ila kakutenda nn coz yan sijui kwa nn unafanyiaga hivyo.
 
Owk sasa nimefahamu kumbe mlikuwa naye toka ujanani.
Ila kakutenda nn coz yan sijui kwa nn unafanyiaga hivyo.

Nafanyaje sasa? Kusema kilemba sijakipenda au? Hahahahaaa! Mbona mnataka kunichonganisha na mama wa 4 lakini? Wakati yuko down town Chicago anakula bataaa, baada ya mbonge wa Le party down town Atlanta kwenye mu appartment wa kufa mtu. Matola mbona hujaweka post ya perty ya down town? Au ndo kusema hujaiona au sababu hukualikwa ndo huweki? Weka bwanaaa!

PS! HAJAVAA LEMBA THIS TIME! HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…