Mambo ya Linda Bezudenhout ndani ya USA

Mambo ya Linda Bezudenhout ndani ya USA

Matola unaniitaga mwenyewe kwenye hizi mada za mteja wako. HAHAAAAA!

Kuniita miite wenyewe afu povu liwatoke wenyewe.

SUMU HAIJARIBIWI KWA KUILAMBAAAAAA! Na hivi mmeniita nisipokuja mtaona nimewapuuzia, nikija mnatamani nisingekujaaa. Hahahahaaaa! Matola kabla hujaniita uwe unafikiria mara tatu.
 
Labda hajawahi kuwa na mchango.

long time ago, alikuwaga HOMA YA JIJI. Enzi hizo za 1980s na 1990s waliokula bata enzi hizo nani asimjue Linda wa Makongoro, Linda Mburushiiiii??????????? Nani mjini humuuuu? LAKINI KAMA UJUAVYO THINGS FALL APART! Sahivi mwanae mmoja anakuja juu yuko vizuri anaitwa Leila Makongoro, kitu 20, 21 hiviii ndo zama zake hizi.

Mchongo alikuwa nao sema ulikuwa unanyonya wakati yeye anaendesha jiji.
 
Congratulations Linda u still looks hot kama binti wa miaka 17 vile..utadhania hukuzaa watoto wako ulifanya kuzaliwa nao.....Maashallah penye sifa basi tumpe sifa zake sie wanawake sijui tupoje utakuta lijitu linaponda nyuma ya keyboard utadhani mdiva kutana nalo uone mbona utakimbia......roho mbaya haifai mitanzania sijui ikoje

Pambana Linda achana na haters kwanza ndio wanazidi kukupa nguvu ya mafanikio
 
Kule kwa swahiba wake wadhamini wamesepa? Naona Mkamba Junior ndio anapamba blog na kitabu chake.
 
anajitahidi sana ila the problem with her is that she is not ready for the critics, which i think could make her even more stronger
 
anajitahidi sana ila the problem with her is that she is not ready for the critics, which i think could make her even more stronger

She is used to A.SS KISSING AND A.SS LICKING OF THE HIGHEST ORDER! Sasa hapo nimemcritise au nime state my opinion baada ya mualiko maalumu wa Matola? Nimesema mimi Lara 1 huo mlemba haujanibariki nimeona umekuzeesha hayo ndo maoni yangu miaka 100000000. Ningemkosoa ningesema usivae kilemba bla blah blah of which sijasema avae asivae juu yake. lENGO LA KUMKOSOA MTU NI KMREKEBISHA MI WALA LENGO HILO SINA. Mi nimetoa tu mtizamo wangu wa mambo sasa watu kufosi mitizamo yetu ifanane ndo shughuli.
 
ili apendeze awe kijana we ungemshauri kichwani afanyeje toa mawazo yako basi maana amevaa kilemba style ya kiafrika unasema kimemzeesha.
 
ili apendeze awe kijana we ungemshauri kichwani afanyeje toa mawazo yako basi maana amevaa kilemba style ya kiafrika unasema kimemzeesha.

Hahaahahaaaaaaaaaa! Naona umeamua kunichimba zaidi. Kama nywele tu anayo, angeweza kufanya mambo mengi sanaa kichwani humooo. Akatoka kichunaa cha kizaramo, toto la kiburushiii lisilo kwisha utamuuu. Mwanamke nywele bibi vilemba waachie Warabu wa Pemba. :biggrin:
 
Back
Top Bottom