Mambo ya Linda Bezudenhout ndani ya USA

Mambo ya Linda Bezudenhout ndani ya USA

Nafanyaje sasa? Kusema kilemba sijakipenda au? Hahahahaaa! Mbona mnataka kunichonganisha na mama wa 4 lakini? Wakati yuko down town Chicago anakula bataaa, baada ya mbonge wa Le party down town Atlanta kwenye mu appartment wa kufa mtu. Matola mbona hujaweka post ya perty ya down town? Au ndo kusema hujaiona au sababu hukualikwa ndo huweki? Weka bwanaaa!

PS! HAJAVAA LEMBA THIS TIME! HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAA!

Me naona ungemuachaga tu alale.
Ama ka vipi jitoe tu muhanga umuombe msamaha af umuombe muonane.
Dizain nimebain unamkubali kimoyomoyo sema namna ya kuwa naye karibu ndo changamoto ama vipi?;-)
 
Matola umekuwa wa kuleta uzi wa namna hii? au ndomana pacha wako warumi kasusa kuanzisha nyuzi?
 
Last edited by a moderator:
huyu Matola utakuta ni mpenz mzuri wa taarab, manake kuleta uzi huu inathbitisha ni mshabiki mzuri wa mipasho.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom