Mkanganyiko kukanganya
JF-Expert Member
- Jun 26, 2022
- 1,204
- 5,053
Memba wote nawasalimu sana, moja kwa moja kuna mambo machache ambayo ni yakwaida ila yananitatiza kwa kutokujua maana zake, mwenye kuelewa anisaidie, Ni hivi unakuta
1) Mara nyingi naona majengo makubwa yakiwa katika hatua za ujenzi uzungushiwa mabati au gorofa kufunikwa kwa vitambaa. Je, ni kwann wanafanya hivyo?
2) Kwa mfano pesa kusafirishwa toka benk kuu Arusha kupelekwa B.O.T kwa ulinzi kusindikiza ile fuso ikiwa imelemewa pesa, kwanini wasitumie ndege, kuokoa muda na usalama?
3) Marehemu kwanini kabla ya kuzikwa anaingizwa ndani kwake, kwanini asiishie nje kuagwa na kuzikwa?
Nyumba itavunjwa hata mlango mpk jeneza liingie!
Wakuu kama unalako ambalo huelewi washirikishe wajuvi watueleweshe.
Shukrani kwako