mambo ya Mnyika

t shirt ccm......bango chadema......:A S-confused1:
 
Du!
Ndiyo ile ya "kula CCM.....kura CDM" au??
 
hii inajibu suali la kwa nn slaa alipata kura chache ingawa wabunge walikuwa wengi
 
hii inajibu suali la kwa nn slaa alipata kura chache ingawa wabunge walikuwa wengi

Inakujibu wewe kuficha uchakachuaji. TAKWIMU ZA UCHAKACHUAJI ZIPO WAZI NA KAMA WEWE HUKUHUSIKA KUCHAKACHUA BASI NI JAMAA YAKO HUYO WA KARIBU YAKO
 
he...haya mambo jmani.........badala ya kumfuatilia yulemtu aliyekuwa amebeba bango na kumuuliza alimaanisha kitu gani nyie mnamshambulia mnyika why?.................siamini km mnyika anaweza kuwa msaliti km zittoaliyenunuliwa na mafisadi wakiwemo ccm kikwete rostamu na lowasa
 
Hiyo unakula kotekote bana kwani nini, kwanza sio sumu.
 
Hii imerudi tena!!!!! au kampeni zimeanza upya?
 
Hii picha imechakachuliwa-ebu ustad mkono wa kulia
 
Blue guard wapo,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,je green guard,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,alitumwa?
 
Mambo ya kutokuwa na misimamo ndio yametufikisha hapa! Kijiweni CDM kwenye kupiga kura unatupa kura yako CCM!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…