Mambo ya Mombasa yamnasa mgombeaji Suleiman Shahbal...taarabu,wanawawke,ma irungi,mipasho!

Mambo ya Mombasa yamnasa mgombeaji Suleiman Shahbal...taarabu,wanawawke,ma irungi,mipasho!

Weka link, kwani wengine twaona ni peusi tu hakuna icon yoyote inayoonekana ili nibonyeze nami nifurahie mipasho. Please weka link jamani.
 
Ma'Mdogo labda ni mashine yako...mbona hapa nilipo naona wanawake wameshikilia sigara na vi-begi vya mirungi jamani?
Unakosa uhondo maana kuna kina mama humo ndani 'wanabwaga manyanga' ile mbaya...lol!

chungulia hapa..... sul - YouTube

Sasa mwalimu Ab-Titchaz kwani Mambasa si iko Kenya? Na miraa si kharamu kwa mujibu wa sheria za nchi....! Hata sigareti pia...
Sio dawa za kulevya atii...
:A S shade:
 
Last edited by a moderator:
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuh aisee hii kitu si mchezo. Mbona inaonekana ilikuwa ni only ladies event, sasa jamaa alifuata nini?
 
Sasa mwalimu Ab-Titchaz kwani Mambasa si iko Kenya? Na miraa si kharamu kwa mujibu wa sheria za nchi....! Hata sigareti pia...
Sio dawa za kulevya atii...
:A S shade:

Mkuu,

from a religious perspective, hio yote ni haram!

....karibu Mombasa!
 
Huyu bwana anajutia kua katika hii sherehe kwa kisingizio cha kampeni!...Mombasa patamu aisee.
Tizama video mwenyewe!







video ya zamani..muimbaji Sabah Muchacho wa TZ ....na tangia yupo kijana sasa amezeeka kidodo...
 
Last edited by a moderator:
Hahaha. Wamama wanasaga gomba kama Karucee! Duh! Bora mie navuta bhange tuuu!
 
Last edited by a moderator:
Wewe King'asti, acha kunivunja mbavu,ntawatuma vijana wa mwema waje wakuaresti,shauri yako.
 
Last edited by a moderator:
eeeh..Mombasa ntarudi tu.

Lakini jamani nauliza, kwa bata wapi noma..Tanga au Mombasa?
 
Munira Chichilli the video that is circulating comes from you. You know very well why you did it. You have been paid heavily. You eddited and pasted. I was there and so were you with your friends and sister swabra. You know too well Suleiman made a speach and went off. You are playing dirty politics jist like your newly found friends. But be warned you are being cursed ans will co.tinue cursing you. We expose you and your buisness. We all know what you are capable off. your friends are looking for us. Munira Chichilli every penny you recived will be charcoal and youl always live with fear. Mngu Ndie Atakae Kukupatiliza. Pliz sambaza.


Watch Suleimams docua
 
Back
Top Bottom