Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
mombasa hapakufai watakudhuru,watafungua container na kupakua mzigo woteNext stop mimi Mombasa aisee
Nani kawahi kula pilau la Mombasa hapa?
mombasa hapakufai watakudhuru,watafungua container na kupakua mzigo wote
kote sawa"WAJA LEO WAONDOKA LEO"Mombasa kuna tofauti gani na Zenj?
sikujua samahani,kumbe we mzoefu,abdulhalima unamsikia huyuAcha wanga wako wewe...unataka kufaudu mwenyewe sasa?
kote sawa"WAJA LEO WAONDOKA LEO"
Next stop mimi Mombasa aisee
Nani kawahi kula pilau la Mombasa hapa?
tufafanulie mkuu hiyo kauli,anyway i fear for NN,au labda ni mzoefuKali ya Mombasa ni "UTAKULA,UTABEBA?"
Hivi kwa nini jamaa wa kibongo wanapenda kuoa wanawake wa kimombasa?
halafu wakishaoa na wenyewe wana adopt accent za jamaa wa kule?
halafu kwa nini wanawake wa Kimombasa wanpenda kuolewa na jamaa wa kibongo?
picha zitafuata baadein...
tufafanulie mkuu hiyo kauli,anyway i fear for NN,au labda ni mzoefu
Mombasa kuna tofauti gani na Zenj?
Hivi kwa nini jamaa wa kibongo wanapenda kuoa wanawake wa kimombasa?
halafu wakishaoa na wenyewe wana adopt accent za jamaa wa kule?
halafu kwa nini wanawake wa Kimombasa wanpenda kuolewa na jamaa wa kibongo?
picha zitafuata baadein...
lamu je?Ongeza na Ngazija katika hio orodha.
lamu je?
Macho yamekuwa kama vile aliyekunywa uji wa kungu manga ,Lol siri ya uji huu .