Mambo ya Mombasa

Mambo ya Mombasa

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Posts
8,546
Reaction score
855
Hivi kwa nini jamaa wa kibongo wanapenda kuoa wanawake wa kimombasa?

halafu wakishaoa na wenyewe wana adopt accent za jamaa wa kule?

halafu kwa nini wanawake wa Kimombasa wanpenda kuolewa na jamaa wa kibongo?

picha zitafuata baadein...
 
hivyo,GT on the entire stretch of the east coast of east africa wewe roots zako hasa ni kipande gani ya hii pwani
 
Next stop mimi Mombasa aisee

Nani kawahi kula pilau la Mombasa hapa?
 
worthless.gif
 
mama weee, umempachika jina tayari... ngoja aje Mpemba yule utamkoma!!
 
Hivi kwa nini jamaa wa kibongo wanapenda kuoa wanawake wa kimombasa?

halafu wakishaoa na wenyewe wana adopt accent za jamaa wa kule?

halafu kwa nini wanawake wa Kimombasa wanpenda kuolewa na jamaa wa kibongo?

picha zitafuata baadein...

1254178.jpg

pd1237949.jpg

Last edited:
tufafanulie mkuu hiyo kauli,anyway i fear for NN,au labda ni mzoefu

Direct translation yake...."are you staying or are you leaving"...

Kuna ule msemo 'Mombasa kuingia raha kutoka karaha' na kwa ufupi ukija
just plan to stay maana kuna majambozz kibao yanapagawisha watu.
 
Hivi kwa nini jamaa wa kibongo wanapenda kuoa wanawake wa kimombasa?

halafu wakishaoa na wenyewe wana adopt accent za jamaa wa kule?

halafu kwa nini wanawake wa Kimombasa wanpenda kuolewa na jamaa wa kibongo?

picha zitafuata baadein...

Baadhi yao hufuatia zile rangi chokileti na nywele za singa ambazo ni necharali na sio zile nywele za bandia si unajuwa kila mtu na maradhi wake. (usimlaumu dobi kaniki ni rangi yake)
 
Back
Top Bottom