Mambo ya Mombasa

Mambo ya Mombasa

Please More Pic....nilikaribishwa mwanzo mwaka huu...nikaambiwa kuwa nikiwa na dola 500+ naweza Enjoy sna....kuna mtu ameshafika uko please anipe mchakato wa matumiz...vocational ijayo nieende....mkioni sipo kwenye JF please pitisheni mchango wa nauli kuja kuni rescue...wanaseam bora kukata tikiti ya kwenda na kurudi kabisa.
 
Acheni masihara, watoto wa Mombasa wamefundwa, kwa watu kukimbilia huko wala hakushangazi, maana unapata mtoto ananyenyekea mume kama mfalme wake! Si kuoa mnyakyusa au msukuma ambae mapenzi kwao ni kitendawili!
hapo umeharibu mkuu......
 
Mombasa kumetulia...kunanipa mshawasha wa kurudi tena na tena
 
Mzee naona umekolea!

ha ha ha ha ha, Kyachakiche nimekuchokoza kwenye joke ya chaggas prayer naona ukawa kimya....Mungu akijalia december nitakuwa home town. Tupate tunda(chondo/kisusio)
 
ab-titchaz more pictures plz

155182950_07dabc1ce3.jpg


Mwanajuma Hamisi anakula matanuzi ufuo wa South Coast, Mombasa

DSCN0146.jpg

 
Last edited:
mmmmh wazee mbona ni MAVITU ya kawaida tu haya,sioni tofauti kuuuubwa na COAST zetu.
 
mmmmh wazee mbona ni MAVITU ya kawaida tu haya,sioni tofauti kuuuubwa na COAST zetu.

Mkuu,

kama umekua ukiifuatilia hii posti toka awali kuna mahala mimi na
Mzee Kibunango na wengineo tushakubaliana kua hakuna tofauti
kati ya Mombasa, Zenji,Ngazija na Pemba. Kwa hivyo nakuomba
utuekee mapicha kutoka Zenji nasi tufurahishe macho.

Shukran.
 
Back
Top Bottom