heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
si tunampiga ivo ivo na umaket maker wakekuna post humu inasema ni bonge la market maker, je hii imekaaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
si tunampiga ivo ivo na umaket maker wakekuna post humu inasema ni bonge la market maker, je hii imekaaje?
ila chart zake kunacandle zinakua tofauti na chart zingine ila utofauti mdogo ila ktk fx unamaanakuna post humu inasema ni bonge la market maker, je hii imekaaje?
Sidhani kama anafaa kwa sisi beginner wenye miezi mitatu hayo mnayaweza wenyewe wa mda mrefu na mitaji mikubwa me nataka nianze na 15$ tu so that it grow higher .si tunampiga ivo ivo na umaket maker wake
Hatari sana msuli.yatimaHapa ni uwezo wako tu mkuu. Usijitumie wewe kama reference ama si unit ya wengine. Kwa waliopiga msuli yatima advance kawaida sana
Mkuu nataka kumjua broker mmoja wa uhakikaMAMBO YA MSINGI KABLA YA KUINGIA KATIKA FOREX TRADING
Ajira ni changamoto na tatizo linalokuwa siku hadi siku.Miongoni mwa vijana na watu wengi wamejiingiza katika biashara ya forex.JE HII AJIRA INALIPA?.Jibu langu ni NDIO na vile vile HAPANA.
Kwa wasiojua maana ya Forex trading, hii ni biashara inayohusisha ubadilishani wa pea za shilingi mfano EUR/USD ,USD/TSH n.k .Utaratibu unaotumika ni kwamba unanunua shilingi fulani na kuiuza thamani yake inapoongezeka.Hii inachangia uchumi unabadilika badilika kila nukta.
Vijana wengi wameingia kwenye hii biashara kwa ushawishi wa kupata pesa kwa muda mfupi.Matokeo yake wengi wao wameishia kupoteza pesa zao.Ni kweli kabisha biashara ya forex inalipa ila tu ukiifanya kwa malengo na utaratibu.Tuzungumzie mambo ya msingi kabla ya kuanza kufanya forex trading.
1.ELIMU ELIMU ELIMU
Hii ndio sehemu ya msingi,pata elimu ya kutosha kuhusu forex.Baadhi ya vijana wamegeuza fursa kwa kuwafundisha elimu ya forex kwa kutoza pesa,elimu ambayo inatolewa bure kabisa.Kwa mtazamo wangu haifai kulipia mtu akufundishe forex,kuna vitabu vingi sana na online courses zinazofundisha forex trading.Kabla ya kuanza trading hakikisha umeelewa kila kitu kuhusu forex trading.
2.AKAUNTI YA MAJARIBIO
Baada ya kupata uelewa wa kutosha kuhusu forex, kinachofuata ni kutafuta trial account kwa kufanya majaribio.Ukiweza kutengeneza faida kwenye trial account ndio weka pesa uanze kufanya biashara.
3.CHAGUA BROKER WA UHAKIKA
Biashara zote za fx zinafanyika kupitia brokers. Hapa chagua broker wa uhakika ambaye anakidhi vigezo vyako.Ukichagua broker asiye wa uhakika lazima ujutie kujua forex trading. Angalia vitu kama anatoa leverage zipi? Je ana stop loss? Minimum deposit/withdrawal? Anatoa education about forex? Je ana social trading?.
4.MTAJI
Mwisho kabisa,forex trading inahitaji uwe na mtaji kuona faida.Unaweza anza na mtaji mdogo, ila kuona faida kubwa labda utumie leverage. Mtaji mkubwa kwenye forex ndio utaona matunda yake.
Ushauri wangu kwa vijana ,fx sio biashara ya kukariri na usitegemee anayekufundisha atakufanya upate faida kubwa.Suala ni kupambanua mawazo yako,soma vitabu ,pata ushauri na pia jaribu vitu vipya.Usipozingatia hayo forex itakuwa kama moto kwako.
Kwa habari na taarifa za ujasiriamali ,jiunge nasi kupitia telegram ,kupitia link hapo chini
UJASIRIAMALI
Tumia broker mzuri ambae yuko regualted na hana longo longoMkuu nataka kumjua broker mmoja wa uhakika
https://secure.tickmill.com?utm_cam...=https://tickmill.com/accounts/types/classic/Nipo darasani nasoma hii makitu
Ila ukweli ni kuwa hii ni kama kamali zingine tu
Tuanawaona vijana wana bet tunawadharau lakini kumbe kuna betting nyingine huku
Jaribu huyu hapa mkuukuna post humu inasema ni bonge la market maker, je hii imekaaje?
Naomba kuuliza wew ulisoma vitabu vip mkuuKabisaa mimi mwenyewe nilianza bila mentor na Mambo yanaendaa tuu...
Soma somaa,,,open demo account practice it ukiona waanza pata faida with demo ..ingia real account....
Bro mbna inagomaJe ungependa kuifahamu na kujifunza kuhusiana na forex trading biashara ambayo inaweza kukutajirisha kwa muda mfupi [emoji857][emoji857][emoji857][emoji857][emoji857]
Jiunge sasa na group hili la whatsapp uweze kupata msaada kuhusiana na forex.. Ni bureeee kabisaa
Fx_Money Makers
Link inagomaBro mbna inagoma