Mambo ya muhimu yasiyohitaji gaharama kubwa!

Perfectz

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2017
Posts
9,045
Reaction score
28,216
___________________________________


JITIBU NYUMBANI KWAKO

KIUNGULIA
[emoji116][emoji116] Aliyepatwa na kiungulia ale nyanya 1 asubuhi na jioni1 kitaondoka In shaa Allah


KUZUIA KUHARISHA
[emoji116][emoji116] Kamua maji ya chungwa lita1 Kunywa glass1 kutwa mara 3 Kuharisha kutakata in shaa Allah


HAMU YA KULA
[emoji116][emoji116] Andaa juice ya machungwa usichanganye na chochte Kunywa glass moja siku mara3 mpk iishe Hamu ya kula itakuja in shaa Allah


KIDONDA SUGU(kisichosikia dawa)[emoji116][emoji116] Yaponde maua ya mchungwa mpaka yawe laini kisha weka kwenye kidonda baada ya kukiosha kitapona in shaa Allah


MAGONJWA YA NGOZI
[emoji116][emoji116] Osha sehemu iliyoathirika ponda maua ya mchungwa na pakaa sehemu iliyoathirka kutwa mara 2 patapona inshaa Allah


MAPUNYE NA FANGASi
[emoji116][emoji116] Chukua majani laiini ya mchungwa yaponde mpk yalainike kisha pakaa palipoathirika


VIDONDA VYA TUMBO
[emoji116][emoji116] Anika maganda ya parachichi mpaka yakauke vizuri Yatwange upate unga Chota unga huo vijiko viwili changanya na asali safi vijiko viwili kula asubuhi na jioni kwa wiki1


NGUVU ZA KIUMENI
[emoji116][emoji116] vijiko3 vya unga wa parachichi Vijiko2vya unga wa hiriki vijiko3vya asali safi Changanya kwenye glass1 ya maziwa kunywa asubuhi na jioni


TUMBO LA HEDHI
[emoji116][emoji116] Chemsha majani ya mparachichi Kunywa glass1 asubuhi na jioni siku7 litapona In shaa Allah


ANAYEKOJOA KITANDANI
[emoji116][emoji116] Chemsha ndevu za mahindi anywe kikombe cha chai asubuhi na jioni $iku3-7


MATATIZO YA FIGO
[emoji116][emoji116] Chemsha ndevu za mahindi chuja kunywa kikombe cha chai kutwa mara 3 siku 11-21


ASIYEONA VIZURI
[emoji116][emoji116] Achemshe mizizi ya mahindi chuja kunywa glass1 Kutwa mara 2 kwa siku3


MALARIA
[emoji116][emoji116] Chukua ndimu7,zikamue kwenye glass Andaa glass1 ya maji ya dafu Changanya kunywa kutwa mara2 mpk upone in shaa Allah


KUTOA SUMU MWILINI
[emoji116][emoji116] Kunywa nusu glass ya maji ya.ndimu kila mwezi kwa muda wa miezi 2 sumu itaondoka mwlini in shaa Allah _____________________________________
 
KIUNGULIA HUWA NACHUKUAGA MAJIVU FRESH, MKONO MMOJA NAWEKA KWENYE GLASS THEN MAJI FULL. UNAKOROGOA, YAKITULIA UNAPIGA. USINYWE YALE YA CHINI. KUNYWA MAJI YAKE TU. HAPO HAPO KINAKATA.
 
sijaelewa hiyo dawa ya kutoa sumu ni kwamba unakunywa kila siku nusu gilasi au vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…