Mambo ya nyumbani(home affairs)

Kumbe ndio uko ivooo.
Hata mie siku ukinipa kazi ya kukupikia papuchii, ntakuwa naionja kidogo kidogo. Yani nalokweka bamia yangu kidogo, nikiona hakujawiva nachomoa, nachomeka kidogo nikiona ile nyama haijawiva, natoa tena... Nikona imewiva ndio sasa ndo 'naloweka' bamia yote kabisaaa!
 
Kama ndo mke wangu siku ya kupika kuku nakaa mwenyewe jikoni.
 
Miss natafuta leo nitakuambia ukweli unazid kudhihirisha kasoro ya mwanamke ya kutojiami,,we kila siku inapka,chakula cha idad ya watu wale wale halaf hujiamin unaonja chumvi kila siku kwa sababu gn? Kwa nn unashindwa kujiamin na kuweka kipimo ulichoweka jana? Mpo familia ya watu saba mfano,then unapika wewe kila mara kwel unashindwa kukumbuka kipimo sahihi mpka kila siku ukipika uonje? Kwa nn mnakosa mahal padogo kujiamin kama hapo?

Ok vzr sana maana mume bora hua anapenda chakula cha mkewe
 
ndo udhaifu wangu mkuu nifanyeje?
 
Nadhani Mods wangetuongezea majukwaa mengine mawili muhimu, moja la wanawake na lingine la wanaume, ambayo haya member wawe wa jinsia husika, kama ni mwanamke usipewe access ya jukwaa la wanaume vivyo hivyo kwa wanaume.

Maana naona hii ingefit huko. Ila Miss Natafuta umetisha sana hapo kwenye kuonja robo kilo nzima.
 
Usipa(dagaa wa kyela)
Nimeanzia kazi huko ndo nikaujua na huo usipa
Aisee ilikuwa nikinunua kwa ajili ya mboga lazima nikadirie na wa kuonja kabisa hapo ilikuwa nishdaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…