Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
Mleta mada Njoo Getho Nikufundishe Kupika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ww badili jina jiite "bonge natafuta" alafu Tafuta dawa ya safura ni minyoo hatari sana huwa wanasababisha hata tamaa ya chakulawala sili sana mkuu
hujui kupika hata robo yangu mkuu.acha kabisaMleta mada Njoo Getho Nikufundishe Kupika
kuonja sio kulaWw badili jina jiite "bonge natafuta" alafu Tafuta dawa ya safura ni minyoo hatari sana huwa wanasababisha hata tamaa ya chakula
Shida Umeanza kubisha kabla Hata Mchezo mzima Hujaanzahujui kupika hata robo yangu mkuu.acha kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama ndo mke wangu siku ya kupika kuku nakaa mwenyewe jikoni.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]pika mchunga au mgagani ili uonje vizuri sio nyama kila siku
hapanaMambo ya nyumbani ni kupika tu??
ndo udhaifu wangu mkuu nifanyeje?Miss natafuta leo nitakuambia ukweli unazid kudhihirisha kasoro ya mwanamke ya kutojiami,,we kila siku inapka,chakula cha idad ya watu wale wale halaf hujiamin unaonja chumvi kila siku kwa sababu gn? Kwa nn unashindwa kujiamin na kuweka kipimo ulichoweka jana? Mpo familia ya watu saba mfano,then unapika wewe kila mara kwel unashindwa kukumbuka kipimo sahihi mpka kila siku ukipika uonje? Kwa nn mnakosa mahal padogo kujiamin kama hapo?
Ok vzr sana maana mume bora hua anapenda chakula cha mkewe
sasa mbona watu wameconcentate kwenye menyu...Hahahahapana
weka story yako tofauti labda vile mimi nimeweka msosisasa mbona watu wameconcentate kwenye menyu...Hahaha