Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
hiyo si imetengenezwa kulingana na wowowo la mafrica wachina hawana wezeleee avae tu mwambiee haina tatizo
hahahaha haya madharau babulai hii ya pili kama imeshonwa na mkono.
mta
mtandao gani huu??? ebbay wanakurudishia pesa yako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni shida haya mambo[emoji16][emoji16]Mambo ya kikuu hayo khantwe..
Sasa hapo umeagiza piece 100 si utaanguka uzimie
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi kufanya online shopping mpendwa wangu
Nitumie mimi iyo atavaa mamiloo angu asee nimeielewa Kinyama.