fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
Sijambo aisee acha tutafute hela tuuMarahaba dogo, Hujambo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijambo aisee acha tutafute hela tuuMarahaba dogo, Hujambo!
Kama ulikuwa hujaanza kujifunza kuwa tajiri, ujifunze sasa. Maana unaweza kutafuta hela na ukazipata. Ila usiwe tajiri.Got you, Appreciate.
Tutafute hela na tuwe Matajiri.
Kumsifia mtu haijalishi jinsia tatizo ni unamsifia kwa lipi?Umekuja kumsifia mwanaume mwenzio ana pesa...kama mwanaume umri wako bado mdogo saana kifkra
Tunatakiwa tujifunze hapaKama ulikuwa hujaanza kujifunza kuwa tajiri, ujifunze sasa. Maana unaweza kutafuta hela na ukazipata. Ila usiwe tajiri.
Sifa ya utajiri ni kuendelea kuishi kizazi hadi kizazi.
Yeah kwa watambuzi wa mambo wanaelewa.Jamaa anatumia hela kwa namna fulani ya walakini, anyway Anajia yeye na Mungu wake.
Ebwanaee! Dunia Ina mambo hii chiefYeah kwa watambuzi wa mambo wanaelewa.
Halafu yawezekana kwenye family ni yeye tuu mwenye pesa. Na hivyo ndivyo inavyokuwa.
Marufuku wengine kutajirika kwenye familia yake. Keshawalamba nyota kitamboo [emoji23]
Hatari sanaaEbwanaee! Dunia Ina mambo hii chief