Marco shija
Member
- Sep 20, 2015
- 64
- 36
Kwenye sherehe/ harusi za kibongo bongo, unaweza kujihudumia vyakula vyoote lakini ukifika kwenye beseni la nyama utakuta kuna mhudumu wa kike tena mzuri kasimama ili akupimie.
Hivi ni kwanini?
Hivi ni kwanini?