M Marco shija Member Joined Sep 20, 2015 Posts 64 Reaction score 36 Jul 20, 2017 #1 Kwenye sherehe/ harusi za kibongo bongo, unaweza kujihudumia vyakula vyoote lakini ukifika kwenye beseni la nyama utakuta kuna mhudumu wa kike tena mzuri kasimama ili akupimie. Hivi ni kwanini?
Kwenye sherehe/ harusi za kibongo bongo, unaweza kujihudumia vyakula vyoote lakini ukifika kwenye beseni la nyama utakuta kuna mhudumu wa kike tena mzuri kasimama ili akupimie. Hivi ni kwanini?
THEGENTLEMAN1996 JF-Expert Member Joined May 13, 2017 Posts 518 Reaction score 592 Jul 20, 2017 #2 humu patageuka Facebook
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,773 Reaction score 51,429 Jul 20, 2017 #3 THEGENTLEMAN1996 said: humu patageuka Facebook Click to expand... Kabisa kabisa kwa jinsi hali inavyokwenda
THEGENTLEMAN1996 said: humu patageuka Facebook Click to expand... Kabisa kabisa kwa jinsi hali inavyokwenda