Mambo ya siasa kwenye michezo yasipuuzwe

Mambo ya siasa kwenye michezo yasipuuzwe

ankol

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
2,355
Reaction score
4,260
Wasalaam wandugu,

Kuna kitu naona kina puuzwa siku kadiri zinavyokwenda. Ila huenda ikaja kuwa hatari zaidi mbeleni endapo zitaendelea kupuuzwa.

Ni kweli tuna mahaba na vyama vya siasa na wanasaiasa zetu, ila hakuna sehemu nyingine tunayoweza ku express mahaba yetu zaidi ya kwenye kumbi za burudani?

Pia soma:
Rais Samia Awabubujisha Machozi Ya Furaha Wana Yanga Uwanja wa Taifa

Ubebaji wa mabango kwenye sehemu za michezo zipigiwe marufuku, kwani naona ni time bomb mbeleni huko wenye vyama vingine wakibeba mabango itakuaje?

Naomba jeshi letu adhimu lisiruhusu mabango ya siasa kwenye semehu za michezo, watu wanaenda kuburudika na si kuhubiriwa siasa. itoshe kusema leo mnachekelea mnaona sawa, na haoo wenye vyama vingine wakianza kuweka mabango yao msije kukengeuka maana wenyewe mnalifumbia macho hili.

Pia soma: Rais Samia aibua shangwe na Nderemo kwa mashabiki wa Simba baada ya kupiga Simu moja kwa moja uwanja Wa Taifa

Ikumbukwe michezo huonyeshwa sehemu yoyote duniani, mtazamaji atakapoona mabangobango atapima hasa iq ya watu wa Taifa letu.
Nawasilisha.
 
Viongozi waliopo madarakani wanazitumia clubs za Simba na yanga kama njia ya kupigia kampeni ambapo watu wengi wanafikiwa pia ni njia mojawapo ya kupoteza madhaifu yote ya serikali
 
Back
Top Bottom