Mambo ya Sikukuu

Mambo ya Sikukuu

OOOHO!!!! Pole Fidel, mitihani hio, Bro, usijali utaweza!!!

We acha tu alimtwanga mke mwenzie na chupa

Mi nimemwachia msala aendelee kuoza huko lock up maana kajichukulia sheria mkononi
 
Wengine Yesu Kristo kazaliwa mioyoni mwao na wameacha ulevi, umalaya, sigara, ujambazi na mifarakano kwenye ndoa zao wamekuwa watu wapya na wanafurahia maisha mapya ya kiroho na amani imetawala mioyoni mwao.

Hii imetulia.
 
Alinikuta na toto dogo dogo akamtwanga na chupa ya konyagi kashonwa nyuzi 7

masikiniiiiii. Sasa na wewe ulikuwa unamfanya nini toto dogo? Alikuwa saiz yako? Au ulikuwa unasaka bikira?
 
We acha tu alimtwanga mke mwenzie na chupa

Mi nimemwachia msala aendelee kuoza huko lock up maana kajichukulia sheria mkononi

Na wewe ulistahili uwe unachat JF ukiwa lupango. Uliitoa bikira ile toto?
 
masikiniiiiii. Sasa na wewe ulikuwa unamfanya nini toto dogo? Alikuwa saiz yako? Au ulikuwa unasaka bikira?

Aaaah bana watoto wa siku balaaa anaonekana mtoto mwili lakini anayajua mambo ya kikubwa kuliko hata mzazi wake
 
Halafu wanawake wengi wenye watoto wadogo kuanzia kuzaliwa mpaka miezi 18 ni wagumu kweli kutembea nje, hata kama kamuona mumewe anatoka nje. Mi kuna ndugu yangu wa kike, upande wa mjomba kaamua kuja ku-spend sikukuu kwangu, eti jamaa yake kaenda Arusha kikazi tangu December 5. Namuuliza atarudi lini, anasema hajui. Namuuliza kazi gani, anasema biashara ambayo hata yeye haijui, namuuliza kama ana demu huko Arusha, anasema SHAURI ZAKE, ATAJIJU
 
Sikukuu za Christmas na Boxing Day zimeisha. Wengine wamejirusha na family zao marafiki ndugu na jamaa, wengine ndoa zimevunjika, wengine wamekamatwa kwa fujo, wengine wametolewa bikira, wengine wamefumaniwa, wengine wameambukizwa, wengine wamelala mtaroni, wengine wamepoteza maisha . . . Sasa tusubili New Year 2011
vipi wewe ulitolewa au ulitoa?
 
lol...naona kweli umekaa chini ukafikiria haya yote, i hope sio mengi humo yalikukuta
 
Back
Top Bottom