Mambo ya Silk Club Kampala

Mambo ya Silk Club Kampala

majambazi wote hawa,siku nimekaa nao club nimeenda kwa choo nimerudi nimekuta simu zote mbili wamesafiri nazo,i miss my htc hadi leo.
 
morecar.JPG

Huyu yupo njema sana, hata akikataa kupima mimi najitosa, hahhahah
 
tipicol.JPG

Sasa Angalia kama huyu na ujauzito wake si angesubiri kwanza akajifunguwa , anakipatisha tabu hicho kiumbe kilichomo tumboni ..
 
More to come inaonyesha Bongo tuna watoto wakali kwa East Africa nzima

Hilo nalo neno. Yaani Bongo kwa East and Central Africa wanatuzidi Wanyarwanda na Wahabeshi (Ethiopians) basi!
 
Huyu yupo njema sana, hata akikataa kupima mimi najitosa, hahhahah

Kupima lazima, acha njaa zakooo!!! ana mdogo wake huyo ni mkali ajabu sasa sijui nae akikataa kupima itakuaje!!!
 
Mfunyukuzi ameweka hizo picha za Ug nimekumbuka hili swali lilikua linanisumbua sana - hasa Tz vs Ug wasichana gani ni warembo sana kuliko wa wenzao? Maana kiukweli bongo siku hizi inawaka kila kona utaona uumbaji wa mungu tofauti hadi unadiriki kusema au mungu kafungu kiwanda kipya cha watu nini afu ukiend kampala kazi ya mungu inatisha pale sasa jamaani nisaidie mwanakwenu !!! boss upo ??
 
Safi sana c club acha watu wajiachie,ila inaonekana wanamshinda shetani sasa kwa matukio
 
duh, hata boss sijui kama ameona picha ya bebe cool!!!?

Mfunyukuzi ameweka hizo picha za Ug nimekumbuka hili swali lilikua linanisumbua sana - hasa Tz vs Ug wasichana gani ni warembo sana kuliko wa wenzao? Maana kiukweli bongo siku hizi inawaka kila kona utaona uumbaji wa mungu tofauti hadi unadiriki kusema au mungu kafungu kiwanda kipya cha watu nini afu ukiend kampala kazi ya mungu inatisha pale sasa jamaani nisaidie mwanakwenu !!! boss upo ??

mmhhhh!!!!
 
Idd Amin Dada angekuwa mjanja angewapanga hao tu pale mpakani wakati wa ile vita, haha haa
 
Back
Top Bottom